Baada ya uamsho znz kuchoma makanisa sasa nao boko haramu nigeria wazidisha kasi ya kuchoma

ACHA UPUUZI WEWE kushabikia uvunjifu wa amani. Kwani HAKI hiyo inayodaiwa ipo kwenye majengo ya kanisa? Au tuseme waliowanyima (siamini kama kweli wamenyimwa) haki ni wakristo?
Watu wakidai haki zao mnsema vurugu, upuuzi mtupu!!!!!!!!!!
 
cha kushangaza vikundi vyote vinafanya vurugu siku ya jumapili uamsho walifanya vurugu jpili terehe 27 na mpaka kanisa k/koo wakashindwa kufanya ibada hao wamesubiri jpili watu wapo kanisani wakafanya vurugu.ijumaa wanatulia wao waabudu lakini wenzao wakiwaona jpili wanaabudu wanaanza vurugu

kumbe wewe ni polisi zaidi ya ile polisi iliyowakamata wachomaji wa makanisa 30 na kuwapeleka mahakamani

ningalikuomba wende mahakamani ukaiombe mahakama iwaachie hao jamaa 30 kwani hawana makosa na badala yake ukawaambie polisi wawakamate uamsho kwani wao ndio waliochoma makanisa

au vipi polisi wetu wa jf ????
 
BBC News - Three blasts hit churches in Nigeria Kaduna province

leo hii kikundi cha Boko haramu cha kiislam nchini nigeria kimelipua makanisa matatu.Je hawa ndugu zetu waislam wamechoka amani au vipi?Kanisa kukaa kimya ndio kuwapa nguvu na jeuri maana serikali hazichukui hatua yeyote.
Viongozi wetu wa kisiasa kuwa waislam ndio kutesa kanisa kiasi hiki?

baharini hakuna papa tu ! !

Askofu wa kutoka Nigeria alikamatwa Bongo na vigunia vya Ndere au umesahau?

Hayo yanayofanyika huko unahakika gani zaidi ya kusoma magazeti na kusikia kwenye TV , pengine hizo ni mafia za unga zinagombana kama Mexico , hiyo ni Nigeria, AMKA
 
haya hayoko mbali Tanganyika, wapo wajinga wengi Tz wanaopenda kuiga mambo ya hatari, na UAMSHO ndo hio viongozi wanaikodolea mimacho hawana cha kulifanya kundi hili la KIGAIDI UAMSHO linaendelea kuvuna mashabiki at the end tutaanza kushuhudia mauaji ya watu wasiona hatia kwa kisingizio cha dini. Hivi hii ni Dini gani isiyothamini Uhai wa watu wengine?
 
DINI HII NDIYO INATHAMINI UHAI WA DINI NYENGINE Askofu mwingine adakwa na unga
 
sio kosa lako kwamwewe,najua kilichokushikilia unakua na lugha hiyo.Mimi nakushauri tu mpokee Yesu ,mkiri kuwa MWOKOZI WA MAISHA YAKO.NAWE UTAISHI MAISHA YA USHINDI

hao Maaskofu wako wauza ndere wanaifahamu vizuri biblia ndio wakawadanganya nyinyi mtoe sadaka wanapoona sadaka haitoshi ndio huingia kwenye biashara ya ndere.

Yesu ametumwa na Mwenyezi Mungu.

Ametumwa awendee nani?

Hebu Tumwache mwenyewe Bwana Yesu atueleze .

Bwana Yesu anasema
:

Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
----- Mathayo 15.24

Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.------ Mathayo 7.6

Mbwa na nguruwe ni watu wa mataifa yasiyokuwa wana wa Israili. Ukristo haufai kufundishwa watu wowote isipokuwa Mayahudi.

Hayo ndiyo mawazo ya Yesu, au ya hao walioandika Injili na wakatia

maneno hayo kinywani mwa Yesu

BBC News - Three blasts hit churches in Nigeria Kaduna province

leo hii kikundi cha Boko haramu cha kiislam nchini nigeria kimelipua makanisa matatu.Je hawa ndugu zetu waislam wamechoka amani au vipi?Kanisa kukaa kimya ndio kuwapa nguvu na jeuri maana serikali hazichukui hatua yeyote.
Viongozi wetu wa kisiasa kuwa waislam ndio kutesa kanisa kiasi hiki?

je? Unaweza kutoa ushahidi kama uamsho ndio waliochoma makanisa au boko haramu ?Makafir mucchome makanisa alafu muka2cngizia waislamu.
 
awanaodai kuwa UAMSHO ilichoma makanisa Hawafahamu na niwaropokoji tu maana hawaelezi ushahidi wa wazi, ndio akina nasikia haooo
 
hii dini gani vurugu dunia nzima? inamaana Mungu wao ni wa Vurugu?
Wapi Duniani mahali hakuna vurugu ? Kuna watu wanavurugu kupita vurugu ya Wakristo ?
Nyie mmethubutu kumpiga na kumuadhiri Mungu wazi wazi, na mpaka leo ushahidi mmeuning'iniza makanisani. Hebu niambie vurugu inayopita kumuua Mungu a.k.a Mwana wa Mungu !?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom