Recent content by _ BABA _

  1. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Zanzibar strikes again !

    hehehe wazenjy bwana kwa kuongea tu hamjambo
  2. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Taarifa ya Reginald Mengi imetolewa baada ya Hotuba ya Waziri wa Nishati na Madini?

    Huyo Muhongo wako ndiyo adui wa maendeleo na watanzania tunamjua sana hususani watu wa Lindi,Mtwara na Ruvuma,,, ni mara elfu afadhali vitalu vya Gesi na Mafuta akapewa Mengi kuliko kuwapa hao wazungu wenu mnaowaita wawekezaji huku ccm mkizunguka na kuchukua pesa kwa hao wawekezaji wenu kupitia...
  3. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliosoma Havard

    Mimi pia nawafahamu Twins wawili wakutoka maeneo ya kaskazini mwa nchi yetu wapo hapo Havard school of medicine.
  4. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Great thinkers complicate things

    we don't put or keep giraffes into the refrigerators.
  5. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania tozo za simu, Ikulu yafunguka

    wazimu mtupu, kampuni za simu ndiyo moja ya zisizolipa kodi ipasavyo,ninauhakika serekali wakiacha rushwa rushwa zao na wakakusanya kodi ipasavyo kwenye hizo hizo kampuni za simu tu watapata pesa zaidi ya hiyo 178 billion.
  6. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Pinda sasa kwa January Makamba

    Hii hapa chini ni post ya January Makamba toka kwenye facebook wall yake: Masaa 2 yaliyopita. Yaliyojiri leo Mponde, Bumbuli: Tarehe 26 Mei 2013, wakulima wa Chai Bumbuli waliazimia kumkataa mwekezaji/mbia kwenye kiwanda chao cha Chai Mponde ambaye wanaamini alikuwa anawadhulumu. Pia...
  7. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Sizani kama akili inapimwa kwa vidato vingapi mtu kasoma....ila cha msingi tu ni kwamba watanzania wa sasa si wajinga wa kutopambanua mambo kama viongozi na chama tawala wanavyojiaminisha, hata kichaa anayetembea uchi kamwe hawezi kumbeba nyoka toka kichakani halafu akamweke ndani ya blanketi...
  8. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Sijui kama umenielewa kweli nilichokiandika..anyway Akili ndogo haiwezi ongoza akili kubwa
  9. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Sio kosa lako wewe ni mtu wa kuhurumiwa tu....yaani unavoandika kama ulikuwepo soweto wakati tuliokuwepo tulijionea fika polisi walichokifanya. Chris mtumikie kafiri upate riziki yako tu mkuu ila unachokisema hata ukimweleza mtoto wa primary school hapa Tanzania atakucheka sana.
  10. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania kwa wanaume...swali kusuka au kunyoa

    Personally ninapenda sana binti mwenye nywele fupi like za Amber Rose hata akiweka na ka wave kidogo huwa navutiwa sana.
  11. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

    Toka post yako ya kwanza tu ulipoanza kutiririka nimegundua kwamba issue ya Dar ea salaam ni swaga tu za kuingilia ukumbini ila lengo lako kuu ni hapo penye red.
  12. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Zanzibari chonde chonde

    Waacheni wazanzibar wajitenge bwana kwanini mnawakatisha moyo jamani???...tuwape moyo wajiondoe kwenye huyu kupe Tanganyika anayewanyonya kwa miaka mingi, mimi nawaombea sana wajitenge hata leo tena wamwambie kabisa Obama si yuko hapa leo na kesho ili awasaidie kupata nchi yao.
  13. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania NewYork Times: Violent Episodes Grow in Tanzania, an African Haven

    haya ccm wazee wa kukanusha hii ngoma ndo kwanza imeanza
  14. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Maajabu Tanzania

    Mkuu PakaJimmy ninachokifahamu mimi ni kwamba kuna gari maalumu kwa ajili ya kusafisha barabara kwa maji,yaani zinatumia maji kusafisha barabara japo sijawahi ziona hapa nchini kwetu,hope ndiyo hicho kinachofanyika wadau wanakiita kupiga deki.
  15. _ BABA _

    JamiiForums Tanzania Polisi wahaha kufuta ushahidi wa bomu na risasi

    policcm majanga matupu
Back
Top Bottom