wanaume hawajui wanachokitaka hapa duniani ni wachimba rupia zilizozchwa na wajerumani!!!!
nina karne kadhaa sijakuona bana...wkend uliniona wapi?
zote babu wewe unapendaje?
jamani hivi vipilipili tutapitaje navyo barabarani?kama mwanadada ana genes za kipilipili ajikubali tu, mi napenda kichwa kiwe na uasilia wake, kama ni kipilipili anyoe nywele ziwe fupi, kama kajaliwa za kusuka iwe mabutu, kilimanjaro vyovyote vile, asuke hizo hizo no addition ya maplastiki wala nywele za wahindi wafilipino wala wabrazil
wewe sema unazozipenda za wapi na ziweje.
mbony shafoooooooooooo
mmmh obama obama bora aondoke tu maana nasikia wanaume mlikuwa mkipigwa mizinga mnajitetea network za atm zimekata kwa ajili ya ugeni wa obama due to security reasons! Tumekomaje?nipo wangu, basi tu pilikapilika za kumpokea obama si unajua!
Pia huu mtaa umekuwa mkubwa sana sikuhizi na vibaraza vingii, so tunapishana kiurahisi.
Halafu acha hayo maswali yako ya kunizodoa bwana.
Kwani uongo hauna nywele fupi?
hupendi steel wire huko eeeh?sipendi za kikwapa wala za naniliyu.... Nataka kuwe kweupeeeeee.... Ila kichwa cha juu..... Ukiniwekea dreads umenimaliza. Kama vipi we jinyolee tu ziwe za urefu wa kati lakini safiiiii. Ili nikiwa nananiliyu vidole vyangu vipate cha kushika, kuvutavuta na kuvinjari.
Na log off. Kwaheri
Kongosho... Uwa unaniacha HOI...!!!
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.
..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba
mimi nimenyoa ..ila ninataka kusuka ila mpenzi wangu hataki anadai napendeza kunyoa ila mimi naona sijapendeza sijui anaogopa mizinga ya saluni
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.
..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba
jamani hivi vipilipili tutapitaje navyo barabarani?
Hivi saloon kuna mizinga?