Ikulu ya Kikwete, Waziri mkuu, Waziri wa Fedha ni mkinzano mtu
Hao ndo viongozi tulionao ambao hufanya jambo bila kuresearch kwanza. Hivi hawa maprof. ni uchwara au ni kwa sababu wako sisiem? Hakuna wizara hata moja Tanzania hii imewai sifiwa kwamba ianfanya vizuri ikiwa chini ya Prof. Mkitaka ntataja mmoja mmoja na alivyoharibu.
Sasa wanategemea kampuni za simu ziiambie serikali mahali pengine pakupata mapato yake?
wewe mbona mawazo yako hayana msaada kwa jamii.
Chenge na tume yake ndo waliwadanganya mkuu
Inaonesha hawa watu hawana mawasiliano ya wenyewe kwa wenyewe, kuna tatizo katika uongoziIkulu ya Kikwete, Waziri mkuu, Waziri wa Fedha ni mkinzano mtu
si wakachukue huko kwenye madini!!!
Siyo kwenye madini tu hata hizi kodi ndogondogo wafanya biashara wanazikwepa sana wakishirikiana na baadhi ya Maofisa wa TRA wasio waadirifu. Hebu fikiria majuzi nimechenjiana sana na Muhindi mmoja kaniuzia kitu kwa Tshs100,000 akanifungia vizuuri then akauchuna, nilipomdai risiti akadai nikitaka risiti niongeze elfu18, nika mbana kwamba kumbe huwa anakwepa kodi kwa kuwashirikisha wateja, nikajifanya napiga simu some where niliporudi mezani kwake nikakuta kaniwekea risiti yangu ikiwa wamemfyeka Tshs18,000 kama VAT, hebu jiulize kama mimi nimeikolea Serikali Tshs18,000 kwa dakika chache tu..........
Sasa wanategemea kampuni za simu ziiambie serikali mahali pengine pakupata mapato yake?
Kweli Rais tunae!