Polisi wahaha kufuta ushahidi wa bomu na risasi

Polisi wahaha kufuta ushahidi wa bomu na risasi

Hiyo wanayoitafuta niiele ya inayoonyeesha afande akifanya vitu vyake kwenye mkutano wachadema maana kama ingekuwa ni hiyo iliyoko hapa JF sidhani kama wange hangaika...mimi niwape ushauri wa bure waka mpekue Mbowe

Mwigulu keshasema hao polisi wamelipwa na chadema
 
Hii kali ya mwaka, natamani sana kwenda Usalama wa taifa nikanyesha mambo sema tu kuna weu flani kule
 
Hili Tawi la CCM yaani Polisi wa nagana kazi kizamani sana mpaka wanachekwa na Watu wanaonekana si wa maana tena
 
nahisi hata uwezo wao wa kufikiri mambo nishida na hivyo napatwa na wasiwasi na uwezo wa polisi wetu katika swala zima la upelelezi maana hata mtoto akiacha mpira wake barabarani kwa muda wa saa 3,ukimwambia ufuate atakataa na kukwambia ulishachukuliwa na watoto,
 
Ama kweli ujinga ni zigo la kuni. Wanasahau kwamba hizi ni enzi za digitali, siyo zile enzi za black and white negative?

Watauaa weee lakini damu ya wafu itawaandama mpaka makaburini kwao

ChagonjaSensa.jpg
 
Hivi mtu akitaka kutukana polisi humu JF unaandikaje? Wakafute na ile damu iliyomwagika, halafu warudishe uhai wa waliowaua kabla hawajaponya majeraha ya mwili na roho ya wanaArusha na watanzania kwa ujumla.


...................................

Mkuu Arushaone heshima kwako!!

Nakuomba sana usiwatukane polisi mkuu.

Naomba uwape tu sifa inatosha.
Wape sifa kwamba POLISI NI WAPUMBAVU KWELI!!!

Halafu unidipu unambie umeweka Nukta wapi leo. Filipo naye amepotea sana akueleze ameweka Nukta wapi
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu kiongozi wa polisi anayetoa agizo la aina hii ANA AKILI TIMAMU KWELI? Kwa karne hii taarifa inaenea dunia yote kwa sekunde tu,sasa leo anakurupuka kutoa agizo la hivi,ina maana kweli kiongozi huyu ameenda shule,je,hana hata washauri?wapo vijana wengi sana wa ki-digitali ktk jeshi letu la polisi kwa nini wasitumike kuwashauri hawa VILAZA WAKUU WA POLISI?nashauri kiongozi wa hivi atimuliwe kazi mara moja.aidha ATEMBELEE MITANDAO YOTE na kuwaomba mods wadelete picha zote zilizorekodiwa siku hiyo ya tukio.Vinginevyo aache upumbavu.
 
Mkuu Crashwise naona wamefanikiwa kumkamata mpiga picha Kamanda Dennis na wamechukua Laptop, Camera, CD na accessories za kuchukua na kuhifadhi mapicha!!!
 
Last edited by a moderator:
Ushahidi wa mabomu na risasi pale Soweto haufutiki katika historia ya jitihada za Watanzania wazalendo wenye nia njema na nchi yao kupata uhuru wa kweli, haki na maendeleo kwa wote. Polisi na Serikali ya CCM wasisahau kuwa tulikuwa tunaomboleza vifo vya ndugu zetu Watanzania.

Labda kama ni waKristo wamtafute Yesu awafufue marehemu waliopigwa risasi na Polisi. Wakifufuka basi ndio ushahidi utafutika.
 
Hawa kweli wehu kama sio Wapumbavu....Kwani kurecord matukio ni kosa hapa nchini?
Hivi kwa akili ndogo tu wanadhani hiyo video master copy itakuwa imewekwa wazi kwa ajili yao kuja kujibebea? Chadema kipo sehemu nyingi TZ, kwa nini wasiwaze kuwa video imeshatoka nje ya Arusha?
Kweli hawa polisi wanatakiwa wasiwe na akili za Mbayuwayu...Akili za kuambiwa, wachanganye na za kwao.....
 
sasa kukamata wapiga picha ili iweje na kwa nini? si wasubiri tu au kuwaomba kama walivyofanya kuwa mwenye ushahidi apeleke!? hapo ndipo inavyojidhihirisha kuwa tukio lile limefanywa kwa maagizo ya ccm na serilkali yake. mmmmh tanzania bhana zengwe tupu.
 
Yes! I can now connect the dots...Mwigulu anasema...".inawezekana kuna watu wanataka kuchonganisha cdm na ccmm..wanaweza kutumia mtu yeyote ata POLISI anaweza kutumiwa....."
Siku zao zinahesabika...watzn hawawezi kupumbazwa na walevi wa madaraka kiasi hicho. Wenye picha msizioneshe sasa but keep them in different devices...time will come when theya really needed.
 
Video hiko Clouds na password ni sentence nzima. Kazi kwenu vilaza wa Polisi
 
----- ni ----- tu! Mpaka wakati mwingine huwa ninaamini kuwa polisi kwa mbinu wanazotumia huwa wanafanya tu kwa vilewanalazimika otherwise being professionals wasingeweza kufanya kitu kama hicho.
 
Polisi acheni uzuzu .jaribuni kwenda na wakati. Kukamata watu haita wasaidia kitu.
 
Back
Top Bottom