Maajabu Tanzania

Maajabu Tanzania

Hii ina maana kwamba CHOCHOTE KILE kinawezekana kufanyika hapa Tz kama viongozi wetu WAKIAMUA au KULAZIMISHWA.
 
Hii inaonesha viongozi wasivyowajibika maana wameonesha inawezekana
 
uthibitisho kuwa sisi maisha yetu ni kwa ajili ya wageni na kujionyesha na sio kwa faida ya sisi wenyewe!
Na sio ajabu hata rasilimali zinagawiwa kwa wageni huku wenyeji wakihangaika na maisha, sio ajabu upimaji ardhi, maji safi, huduma za jamii nk ni kwa ajili ya wageni wachache na sio wananchi tulio wengi!
Nasi pia tunastahili vilivyo bora na ni vizuri tukiwa na lifestyle ambayo hata mgeni akija tusibabaike ila atukute humo humo na kufurahia tulicho nacho
 
KUPIGWA DEKI imekuwa kana neno la utani na mizaha, eleza wanachofanya ninini ili wasomaji wajue!
Sometimes tunaexagerate mno taarifa zetu.
Mkuu PakaJimmy ninachokifahamu mimi ni kwamba kuna gari maalumu kwa ajili ya kusafisha barabara kwa maji,yaani zinatumia maji kusafisha barabara japo sijawahi ziona hapa nchini kwetu,hope ndiyo hicho kinachofanyika wadau wanakiita kupiga deki.
 
Serikali serikali serikali, kila kitu serikali, hivi nii mara ngapi serikali inachukua uchafu wenu na kuutupa barabarani, ni mara ngapi inawaambia wananchi wake watupe uchafu mitaani, uchafu mtupe wenyewe hovyohovyo serikali isemwe inachafua, mbona majumbani mwenu mnatupa uchafu kwa mahesabu af mitaani mtupe hovyo, majumbani watu wafagie wenyewe mitaani watupe hovyo
 
Najiuliza hivi fedha, vitendea kazi na watenda kazi kwa ajili ya kuliweka nadhifu jiji letu huwa vinapatikanaje wakati wa ziara za viongozi wa kimataifa na sio wakati mwingine? Tafakari chukua hatua!!
 
Yaani ni so, maji yamemwagwa yamekuta vumbi hivo likageuka kuwa tope! badala ya ku-shine maji yametengeneza likawa kama rojorojo, yaani hapatamaniki!
 
Nıpo ubungo mataa: Morogoro road na Samnujoma road zınapıgwa dekı: Kwelı Obama Nomaaaaa.....! Tutashuhudıa mengı

Wewe sio kwamba STRABAG wanataka kumwaga zege kweli !?
 
Leo asubuhi maeneo ya Ubungo,
Z
 
Nasikia ubungo pameng'aa mpaka basi, afu naskia posta ombaomba wote wamechukuliwa na kuwekwa mahali huko wanakamua vyuku na vyoda kwa kwenda foward...
 
Nasikia ubungo pameng'aa mpaka basi, afu naskia posta ombaomba wote wamechukuliwa na kuwekwa mahali huko wanakamua vyuku na vyoda kwa kwenda foward...
Hahahaahaaaa obama kaja ombaomba wanafaudu....dah!!wataombea awe anakuja kila mwezi....
 
Nasikia ubungo pameng'aa mpaka basi, afu naskia posta ombaomba wote wamechukuliwa na kuwekwa mahali huko wanakamua vyuku na vyoda kwa kwenda foward...

Hivi hakuna uwezekano huyu jamaa awe anakuja tz angalau mara 2 kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom