Hii Mimi binafsi naamini 100% . Mimi binafsi nilipanga mwaka jana kuoa lakn naona cku zinaenda sipati mwanamke sahihi Wa kumuoa ,hata wanaosemaga kwamba eti wanaume tuko wengi kuliko wanawake naona ni hadithi tuu cdhani kama ni kweli na hat kama ni kweli basi utofauti ni kidogo sana
Sawa hater, jamaa anazidi kutusua na kuongeza fanbase ,by the way sidhani kama maneno yako yana mashiko sana kumshusha Mond. Keep on hating ,we will keep on supporting him for the good music he used to do...
Daaah yamenikuta haya mkuu. Mazingira unayoelezea na Mimi nilikua hivo hivo ila kwasasa nilishahama hapo . nahc baada ya kutoka Mimi ndo ulihamia wewe hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.