Natamani kuoa ila nimekosa mke

Natamani kuoa ila nimekosa mke

Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia?

Kuna mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto, ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke?
Maan yake anakuhitaji WEWE
 
Labda tuanze kwa ku orodhesha tabia au sifa zinazopelekea mtu kukosa mke.
 
Hiyo ipo ni kutokana na vigezo na mazingira. Wakati watu wengi huwa wanadhani labda ni wanawake tuu ndio huolewa na watu wasio wapenda au wenye sifa wasizo zitaka kwa kuwa wao ndio wanatafutwa. Hii ishu ipo hata kwa wanaume, wengi sana walioa kwani time ilifika au walihisi hao wanawake ndio wako available au wanafaa kuwa kina mama wa house tu. ila si kwamba waliwapenda au walitimiza kila kigezo kinachi tafutwa. Na ndio maana bado ndoa nyingi zina feli
Mwalimu naye akipata mtu sahihi kwa wakati sahihi ataoa.
I will marry when Iceman 3D marries.
 
25

Nina 25+
Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia?

Kuna mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto, ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke?
Alafu ukifikisha 30+ uanze kusema huna bahati,changamsha damu bidada mume huyo!!
 
Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia?

Kuna mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto, ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke?
Hii Mimi binafsi naamini 100% . Mimi binafsi nilipanga mwaka jana kuoa lakn naona cku zinaenda sipati mwanamke sahihi Wa kumuoa ,hata wanaosemaga kwamba eti wanaume tuko wengi kuliko wanawake naona ni hadithi tuu cdhani kama ni kweli na hat kama ni kweli basi utofauti ni kidogo sana
 
Back
Top Bottom