Makubwa ya YOUTUBE kutoka kwa "HALLELUJAH" ya Diamond Platnumz ft Morgan Heritage

MimiJoel

Member
Sep 22, 2017
42
46
'Hallelujah" Ni wimbo mpyaa kutoka kwa Diamond platnumz, wimbo huu umekuja kuvunja record na kuweka record mpyaa kwenye mtandao wa Youtube..

1. Kabla hata haujafikisha Masaa 12, Ukawa ndio wimbo namba 1 on trending kwenye mtandao huo hapa nchini kwetu Tanzania.

2. Ndani ya masaa 15 ukatimiza watazamaji Million Moja (1M). Na kuwa Wimbo wa kwanza Tanzania, East Africa na Africa Nzima kiujumla kufikisha watazamaji hao kwa muda mfupi zaiid..

3. Siku moja umetimiza watazamaji Million Mbili (2M) na kuwa wimbo wa kwanza Tanzania kufikisha watazamaji hao ndani ya Siku Moja..

Diamond Platnumz ni International Artist kutoka Tanzania, Kwa maana hiyo ni Msanii anayefahamika vizuri Ndani na nje ya Bara la Africa.. akiwa ndiye msanii mwenye Subscribers wengi zaiid kwenye mtandao huo wa youtube (700,000+)
 
Attachments

  • 22069108_133346433976966_6865257261309100032_n.jpg
    22069108_133346433976966_6865257261309100032_n.jpg
    60.9 KB · Views: 83
  • 22157631_129536857702129_1636106854415204352_n.jpg
    22157631_129536857702129_1636106854415204352_n.jpg
    75.6 KB · Views: 74
UKWELI MCHUNGU TUNASUBIRI DAWA IWAINGIE VEMA MAANA WASHAANZA KUPAMBANA HUKO.

Barakatheprince:Usinipangie cha kupost
Jokate:Nyimbo kali sana hii.Kizuri kisifiwe

Yule babu wa kariakoo asieishiwa majungu anazidi kushangaa bin laden anarekodi nyimbo hzi saa ngapi
 
Mange jana amehasisha watu waripot youtube ati halleluya ina artificial viewers ili waichunguze........ Halleluya ni shida kwake
 
Ahahahahahaha, sema huyu kijana anaishangaza mpka Familia yake.. mana uwezo wake sio wa nchi hii
 
Mange jana amehasisha watu waripot youtube ati halleluya ina artificial viewers ili waichunguze........ Halleluya ni shida kwake
Baada ya kuwaambia ndo ikagonga 2M maanake aliowaambia wakaanza kuview zaiid, na ubaya wa HALLELUJAH ukiiplay huwez kupeleka mbele...
 
Back
Top Bottom