Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Halafu mashabiki wa kiba mnamtesa sana kiba mnampa majukumu makubwa atakuja kulia mbele za watu asee
 
Ifike wakati mtu ukimwongelea diamond usimtaje kiba na ukimwongelea kiba usimtaje diamond.
Mbona akiongelewa msanii mwingine anaongelewa bila mwingine kupondwa.
Wote wetu wote wako vizuri
Ewaaaah, umenena vyema sana mkuu.
Wote ni watoto wetu hawa na wana nafasi zao kwenye jamii. Bila Alikiba Bongo Fleva isingekuwa hapa na bila Diamond Platnumz mziki wa Bongo usingefika hapa kimataifa.

Wote wana umuhimu wao katika Tanzania yetu hii. Tuwabebe kabisaaa!
 
mnaosema Omarion ni veteran sijui kachuja. ......sidhani kama mnafuatilia mziki wa marekani na wa dunian kwa kweli sikilizeni hizi ngoma and then muanze kuongea mnayoyaongea kwa kuanzia 2015 Post to Be,Im Up,Im Saying,W4W(Word 4Word) malizieni na Distance ambalo likipigwa club lazima uinuke !!

Sipo team yeyote ila nakubali bidii yake.....sometime ushabiki wekeni kando mkubali tu jamaa ana bidii kubwa na ana njaa ya mafanikio sio mtu wa kuridhika na kulewa sifa za kibongobongo!!!.....Hata mmarekani aliyezaliwa kulekule ni ngumu kufanya kazi na hao wasanii
 
Ifike wakati mtu ukimwongelea diamond usimtaje kiba na ukimwongelea kiba usimtaje diamond.
Mbona akiongelewa msanii mwingine anaongelewa bila mwingine kupondwa.
Wote wetu wote wako vizuri
kuwaobgelea ndio utamu wa mziki wenyewe. Pasipo mashindano hakua raha
 
Jamaa anafanya collabo ba wahenga... kwanini alisifanye na vijana wanahit sasahivi??
 
Hapa ndipo Diamond anaponiacha hoi, yaani anafanya kolabo na mtu wa nje cha maana wanachokifanya hao watu ni kutaja neon moja tu kama vile 'oooo' 'uuuu' 'waaaa' 'haaaa', 'you know what', 'Hey Yo', wabongo wanaona ujiko, this is beyond stupidity? Unamlipa mtu so much money kuuza sura tu?
Sawa hater, jamaa anazidi kutusua na kuongeza fanbase ,by the way sidhani kama maneno yako yana mashiko sana kumshusha Mond. Keep on hating ,we will keep on supporting him for the good music he used to do...
 
Hapa ndipo Diamond anaponiacha hoi, yaani anafanya kolabo na mtu wa nje cha maana wanachokifanya hao watu ni kutaja neon moja tu kama vile 'oooo' 'uuuu' 'waaaa' 'haaaa', 'you know what', 'Hey Yo', wabongo wanaona ujiko, this is beyond stupidity? Unamlipa mtu so much money kuuza sura tu?

Kwani hela zako? Acha kulialia kama umeombwa uchangie.
 
Hapa ndipo Diamond anaponiacha hoi, yaani anafanya kolabo na mtu wa nje cha maana wanachokifanya hao watu ni kutaja neon moja tu kama vile 'oooo' 'uuuu' 'waaaa' 'haaaa', 'you know what', 'Hey Yo', wabongo wanaona ujiko, this is beyond stupidity? Unamlipa mtu so much money kuuza sura tu?
Hujui mbinu za kujitanua wewe!! Forget kwamba unaweza kufanya Bongo Flavor yako huku ukiwa umewashirikisha akina Jux halafu ukatarajia kufika japo hapo Ghana!!

Na kama unadhani anachofanya ni kuuza sura, nadhani mwenyewe umeona 6X Platinum sales. Kwa Recording Labels za South Africa, plain Platinum sales ni 20,000 units na hiyo 6X Platinum sales ina maana hadi sasa ameuza at least 120,000 units!!!

Ukiingia iTune, Marry You inauzwa kwa $1.29; which means, kwa 120,000 units, mauzo ni angalau USD 150,000. Hiyo ni itune peke yake!!! Hujaweka mapato ya Youtube wala caller tunes let alone royalties especially from Kenya!!

Tatizo la Wabongo ndo kama hilo ulilonalo wewe! Wabongo wanaweza kumkosoa mtu aliye kwenye industry husika kwa miaka kadhaa na kuona huyo muhusika hajui lolote lakini yeye ambae hajui hata bei ya mic ndie anafahamu biashara ya muziki!!!!
 
Hapa ndipo Diamond anaponiacha hoi, yaani anafanya kolabo na mtu wa nje cha maana wanachokifanya hao watu ni kutaja neon moja tu kama vile 'oooo' 'uuuu' 'waaaa' 'haaaa', 'you know what', 'Hey Yo', wabongo wanaona ujiko, this is beyond stupidity? Unamlipa mtu so much money kuuza sura tu?
kwahyo neyo alifanya hvyo?
 
Back
Top Bottom