agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
- Thread starter
- #241
Si unajua kipya tena.Naanzaje kukutosa aggy ?
Si unajua kipya tena.Naanzaje kukutosa aggy ?
Unahisi wapi unakosea?Hii Mimi binafsi naamini 100% . Mimi binafsi nilipanga mwaka jana kuoa lakn naona cku zinaenda sipati mwanamke sahihi Wa kumuoa ,hata wanaosemaga kwamba eti wanaume tuko wengi kuliko wanawake naona ni hadithi tuu cdhani kama ni kweli na hat kama ni kweli basi utofauti ni kidogo sana
Mimi ni muajiliwa pia nimejiajili kwahyo nahc ni kutokana na ubize Wa majukum yangu ya kila ckuUnahisi wapi unakosea?
MmmhUnahisi wapi unakosea?
Wewe kwangu ni mpya mara zote[emoji14]Si unajua kipya tena.
Unaguna nini.Mmmh
Badirisha mtindo wa maisha utapata.Mimi ni muajiliwa pia nimejiajili kwahyo nahc ni kutokana na ubize Wa majukum yangu ya kila cku
Kweliii eee.Wewe kwangu ni mpya mara zote[emoji14]
Una uzoefu na hilo ?Ila bora mwanaume ampende mwanamke ,kinyume chake hiyo ndoa huwa inazidi jehanamu.
Agata ni mchumba wa mtu tayariAgatha naomba tuwe wachumba kama hutojali
Nitakuja na agata kukusaidia kutafutaIla tafdhali batch mpya ikija unistue ya walimu hasa wa sanaa[emoji1]
Aiseeeh2006 nilikuwa LA saba wakati huo Mwalimu wangu alikuwa na miaka kati ya 24_26 ukipiga hesabu hapo kwa sasa atakuwa na miaka mingapi?
ShikamooMie na kusoma nishasahau huo mwaka, kumbe humu niko na wanangu kabisa.
Marahabaaaa mwanangu.Shikamoo
Mkuu mbona hyo possible kabisa kuwa na mwalimu wa primary mwenye 40yrs kwa huyo binti, mfano mwaka 2000 mwalimu alikuwa na 22yrs na mwanafunzi ni 7-14yrs kwa hyo sasa hivi mwalimu atakuwa na 40yrs na mwanafunzi atakuwa na 25-32yrsKitendo cha mwalimu wako kuwa na miaka 40 ni kama mahesabu haya kai ujue
Kwa hiyo wewe miaka yako ni mingapi!!
[emoji15] [emoji15]
Mkuu mbona hyo possible kabisa kuwa na mwalimu wa primary mwenye 40yrs kwa huyo binti, mfano mwaka 2000 mwalimu alikuwa na 22yrs na mwanafunzi ni 7-14yrs kwa hyo sasa hivi mwalimu atakuwa na 40yrs na mwanafunzi atakuwa na 25-32yrs40-25=15..kindergarten to primary school almost 14yrs [emoji25] [emoji25] [emoji40] [emoji40]
HahahahhahhahaAiseeeh
kumbe skukosea kukuchagua uwe mchumba wangu.
Usiwaze tutaivuka ukiwa na mimi.Bora kuvuka tu hiyo taa nyekundu.
ShikamooYaan 2006 ulikuwa la saba!!!
Mweeeh! Hapo mimi nilikuwa mchimbo ya bulyankhulu natafuta maisha tayari