WATU 17 wamezirai na wengine kuwa katika hali ya mstuko mkali katika zoezi la kuteguliwa kwa mabomu yaliyobaki katika kambi ya Jeshi WATU 17 wamezirai na wengine kuwa katika hali ya mshtuko...
We actually deal with various prime lands in prime region areas of DSm, Arusha, Mwanza, Mbeya and Dodoma. Plots are for:-
· Housing estate (single storey structures, apartments, town house...
Kindly find more information of plots in Dar es Salaam as follows:-
Bahari beach plot (13acres) near the upcoming five star bahari beach hotel in Kunduchi.
18 acres in Bahari beach near the...
Portable Room Air Conditioner
Wadau naulizia je hii inapatikana bongo na kama ipo ni Tsh ngapi ni hayo tu wakuu msaada wenu ni muhimu! (Kumbuka: natafuta Portable maana mi ni mtu wa kuhamahama)
This corner plot is strategically located for hotel development or office tower. It is at the junction of Kenyata and Pamba road. It has an area of 1200sqm with a clean title! Call 0754 85 82 45
Natengeneza Computer katika nyanja zote Software & Hardware
Napatikana Maeneo ya Temeke Dar es salaam
Servicing of pc: (price)
Desktop checking & Service Tshs. 10,000/=
Laptop...
Waungwana naomba mtusaidie kidogo kupambana na wizi!! Ndg. SALIM SHABAN LOSSINDILO mkazi wa Kiwalani Dar es Salaam anatafutwa na Polisi kwa kosa la wizi wa kuaminika wa kiasi cha tsh. 5,000,000/-...
KATIKA hali ya kushangaza imetokea juzi katika maeneo ya Boko baada ya babu mmoja kutuhumiwa kuwa amebaka mama mjamzito kuachiwa huru na polisi na mama huyo kubaki kushikiliwa na polisi.
Tukio...
Hivi leo nimepokea taarifa za kusikitisha za mauti yaliyomkuta Ndugu Josephat Mossy a.k.a Dojo.
Marehem alikua mwanafunzi chuo cha St. Augustine Mwanza. Inasemekana aligongwa na gari siku ya...
Tafadhali kwa anayejua mahali ninakoweza kupata Mbegu nzuri ya Mbwa anifahamishe.
Namuhitaji sana hata kama nikipata wawili maana vibaka wananikera sana nyumbani kwangu, ila asiwe Mbwa koko.
VIWANJA VINAUZWA, VIPO MAENEO YA BUYUNI, MANISPAA YA ILALA, DAR ES SALAAM
VINAUKUBWA KAMA IFUATAVYO, 1. 1300 sq. meter ( low density), 2. 1100 sq meter na 3. 980 sq meter
Vyote ni maalumu kwa...
Namtafuta huyu dada.Mara ya mwisho alikuwa akisoma Eckenford Secondary School mjini Tanga (1993-6 kama sijakosea).Mwenye contact details zake naomba anipatie,au kuni-PM
Thanx in advance
4WD, manual, 5 doors, metalic grey, low mileage, serviced regularly by dealer DT DOBIE TANZANIA, 4 cylinder, petrol engine, Bei 25mil.
Ikiwa wewe hauhitaji kununua gari hii unamjua mtu anahitaji...
Nimetoka JF Ville Forest Reserve, nikapiga kona kwenye jengo la mahusiano Kufyoka na Ushauri- Nikakutana na haya...
- Na ninawaahidi wana-JF kwamba leo I am so happy kwamba nitakunywa mvinyo...
Nyumba ya kununua inahitajika iwe self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Iwe na uwanja kutosha kupaki magari matatu
Iwe na maji na umeme...
Ina milango mitano, automatic. model ya mwaka 2000, imetembea km 74520, 1760cc,petrol injini, imeingia Tanzania 27/01/2009 ina rangi ya dhahabu, ina DVD MP 3 TV Screen yenye thamani ya USD 1500...
Nyumba inauzwa, self contained 3 bedrooms, 1 master and 2 bedrooms.
Plus jiko, store, dining and sitting room.
Iko Gongo la Mboto Ulongoni A
Bei Mil. 30 MAWASILIANO 0717 114409