Toyota lancruiser hardtop inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota lancruiser hardtop inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Sep 24, 2009.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,035
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  2003 year of manufacture. IHZ Diesel 4164cc . in good condition. Price 31mil. negotiable. contact 0717114409
   

  Attached Files:

 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hii ndo yenyewe kwetu Makete kule unafukua tope tu kama unapanda mlima Kilimanjaro. Sasa imetembea Km ngapi Kitomai?
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Homeboy menikumbasha mbali sana......! nikiwa pre form one miaka hiyo, tulikuwa tunaenda na hii kitu kule Lupila/Sunji (kama upo), huko milima mzee acha kabisa.....kitu ilikuwa inatembea acha kabisa!

  BWT: Mkuu Shapu.....hii mtambo dili kweli kny that project......so can do the needful umwone Kitomai!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Homeboy umenifanya nikumbuke mbali sana road ile ya maeneo ya Makoga,Mdasi kuja Igosi barabara ilivyo kuwa inachafuka mnakuja kumpunzika Kipengere pale kwa kupata msosi na vinywaji. Ila kimbembe ukitoka Kipengere kuingia sehemu moja inaitwa Ibubumila au Ludodolelo dah kwenda Mbalache ile milima mzee bila Landrover hupandi kabisaa.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,820
  Trophy Points: 280
  Mkuu, pungufu unaongea au ndio tooooop! Mifuko imekaa vibaya.
   
 6. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Imetembea KM ngapi?
   
 7. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,035
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  maongezi yapo
   
Loading...