Jihadhari na mabomu ya machozi

Gavana

JF-Expert Member
Jul 19, 2008
33,233
8,779





Mabomu ya Machozi yaani mabomu ya GAS 2-chlorobenzalmalononitrile yanatengenezwa kutokana na Chemicals ambazo wengi wanaamini hazina madhara makubwa kiafya- Lakini utafiti unasema kuwa huleta Madhara yasiotibika kabisa ya Mapafu .Maini na Moyo.Inavyotakiwa watu watumie Mask maalum ambazo huuzwa madukani. Zengine hizi Gas zinaingia kupitia ngozi kwahio itabidi mtu akioshe mwili mzima kwa maji baadae kwa sabuni isio na chemicals kali halafu tena kwa maji na ahakiishe maji yote yanaingia Shimoni.Kuna mengine huwa na Cyanide Poison ambayo tone tu linatosha kuuwa!!

Kuna madhara vile vile kwa DNA hasa kwa wanawake waja wazito wanaweza kupata watoto wenye Maradhi au pia kuharibu Mimba.
 
Back
Top Bottom