Donate a crank box to your community school now and save a life!!
We have experienced and heard alot of fire accident cases which causes a lot of deaths to our beloved children in boarding schools...
Nimetafuta nimechoka. Ninaowapata wote wazuri wiki 2 - 4 za mwanzo baadae wanageuka wezi. Wameniibia miaka 2 yote nimekuwa na-invest shambani bila kupata kitu, mayai wanauza, kuku wanauza...
Imetumika for only two months . Owner is leaving country and would like to sell it . Any offers ?? USD 700 O.N.O
HP Compaq 6530s Notebook PC .
CPU:Intel Core 2 Duo T5870 (2.0GHz, 2 MBL2...
Naomba ushauri,kama mtu hakufanya vizuri form four akipata Div four,sasa amesoma kozi ndogo ndogo mpaka kufikia level ya Adv Dip,je hiki cheti cha form four kinatia aibu,je kwenye kuomba kazi...
wana jf
mimi siyo dalali,
namtafutia ndugu nyumba ya kununua,iwe daresalaam',nyumba iwe na uzio/fence.eneo kubwa la kutosha,maeneo mazuri,e.g kijitonyama,kinondoni,mwenge.bei isizidi millioni 129...
Baadhi ya ndugu, wakiangalia mabaki ya vitu mbalimbali katika ajali ya watu watano wa familia moja kuteketea kwa moto ndani ya nyumba yao eneo la Kisiwani Mkwajuni, Kata ya Vijibweni, Wilaya...
Inna Lillahi wa Inna ilayhi Raj'oon
Verily to Allah we belong & to him we shall return
Taarifa ya Msiba wa MwanaJF
Kwa niaba ya Familia ya Ndugu yetu na mwanachama mwenzetu Aliyekuwa...
Tired of changing batteries, buying kerosene and sniffing carbon emissions?
Try this new Product!
A New Product on renewable energy category has emerged.
A CRANK BOX is a hand power generator...
Hello all
I hope all is well with you wherever you are and in what you are trying to accomplish !!!
Jamani, kama kuna mtu anamjua nduguye/rafiki/jamaa ambaye kwa sasa yupo marekani na...
Kwa wale wadau wanaotaka kusaka Nondoz China,kuna chuo No.1 kwenye nyanja ya Pharmacy kwa mda mrefu sasa China,kinaitwa China Pharmaceutical University kinatoa kozi za Bachelor of...
2000 model Toyota PREMIO
1700CC, 45,000km. SIlVER
AUTOMATIC
OPTIONS
sports sims,airbag, center lock, AC, tape, fm, ABS, CD player, very economiic
full registered.
bei ni 8ml.
kwa picha na...
2001 and 2000 models Toyota NOAH
1998CC, 65,000km. WHITE niyngine SIlVER
AUTOMATIC
OPTIONS
sports sims, cd changers, TV, Back camera, NAVIGATION (japokuwa ni useless kwetu), airbag, center lock...
Familia ya Bwana Gabriel kilave wanapenda kutangaza kifo cha
kaka yao BW GEORGE KILAVE kilichoteka huko INDIA
Habari ziwafikie ndugu jamaa wote wanaomjua bw kilave
washarika wa KANISA LA ASKOFU...
KIJANA mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Bakari amepoteza maisha kwa kuuawa kikatili na watu wasiojulikana na kumtupa pembezoni mwa barabara huko maeneo ya Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam...
NATafuta office ya kushare,on part time basis,
ninahitaji mahala pa kufanya kazi zangu binafsi,hasa weekend and evenings,just a desk to work on,nyumbani distractions nyingi,mimi ni muajiriwa so i...
Kuna mdau yoyote anayejua wapi hapa Dar naweza kununua ndevu za kubandika,
Hii kitu India ni common sana, inauzwa sana. Sasa kwa hapa Bongo sijui naweza kupata
wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.