Nyumba inauzwa...

Aisee, tena utani wa haja kama c kweli... Maana huko ni pakupakimbia kwa sasa.
 
masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........
 
masihara hayo jamani.........watz tuna matusi sana,badala ya kusikitika watu wanakufa we unashangilia na kutangaza nyumba inauzwa!........

Aah! ss una maana hana haki ya kuuza nyumba yake hata kama hali ya kule ni tete kwa sasa? Au unamaana aitoe bure?
 
Twendeni tukawekeze huko, hali ikitengamaa watatutamani. Mbona Italy iliamua kujichukulia jangwa, hivi sasa kama wangekuwepo wangekuwa wanafaidi mafuta, teheteheteheteheteh
 
huko somalia babu, tena no smoking, unaweza ukawa unakojoa kichakan usik, unadetoneti bomu! ukichoma takataka tu kitu!
 
Du!!!!!!!!

Utani bro!!!

Juzi juzi nilisikia watoto chalii!!

sasa leo unauza nyumba!!!

lakini nakubaliana na wewe labda laki tuwili!!

ukapangishe maana hata bei yake ni ya chumba ni Tshs 3000/= kwa mwezi.

Lete picha Bro!!! uthaminishe!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom