Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

JESHI la polisi mkoani hapa limelazimika kutumia mabomu ya machozi kwa ajili ya kumuokoa bibi Hadija Kabeya Saloom (70) aliyevamiwa na watu wapatao 50 wakitaka kumuua kwa tuhuma za uchawi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za hapa jukwaani wakuu, zinahitajika Camera mbili kubwa za digital ziwe either cannon au nikon mwenye nazo achangamke faster, mpya au used(in good condition)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo. Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!! Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MAGARI YANAUZWA KWA BEI NAFUU.WASILIANA NASI .YAMELIPIWA USHURU,IMPORTED FROM JAPAN. 1.Toyota Gaia year 2001 Petrol Price 8M 2.Lande cruiser Prado Pearl II...
0 Reactions
34 Replies
17K Views
EVAG Consulting Firm (T) Ltd is a Tanzania based company which is established and was registered on 12th October 2009 under the Tanzania company act 2002 with registration no 73210 and TIN no...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba za kupanga,za kununua,viwanja vyapatikana HAPA
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Magari kibao yanauzwa...kwa picha na maelezo mengine CLICK HERE
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata maumivu baada ya kuisahau mahali kwa sekunde chache simu yangu ya Nokia 95, niliyokaa nayo kwa miaka minne na niliyoipenda sana hasa kutokana na camera yake ya 5.8 pixels, ikapata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hofu ya kusakwa kwa viungo vya walemavu wa ngozi imeibuka upya baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kufukua kaburi la mlemavu wa ngozi katika kitongoji cha Izengwabasumba katika kijiji cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kilimanjaro BBQ & Restaurant 94 Longbridge opposite "AtTqwa"-Jumuiya ya wasomali Barking Wanaondesha hii Restaurant ni waswahili kutoka nyumbani na tarehe 3 Jul 2010 wamefunguwa rasmi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Iphone 3GS 32G inauzwa, imetumika kwa miezi sita. Sababu ya kuiuza ni kwa vile nina-upgrade to IPHONE 4G~kwa anayeitaka naomba ani-PM, au aniandikie at Yegomasika@gmail.com itapatikana mwishoni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
iphone 3gs 16gb inauzwa bei 800,000 mpya ipo kwenye box lake na vitu vyake vyote haijawa unlocked ukitaka iwe unlocked bei itakuwa 870,000 kutoka UK contact 0717445288
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We are Better connected for our customers' satisfaction. Just PM me for any further inquiries on the products and orders. ........................ Unlocked 2SIM 4BAND WIFI JAVA TV G-SENSOR...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Baadhi ya wananchi wakitazama ndege ya kijeshi iliyoanguka jana katika kijiji cha Manga barabara Kuu ya Segera- Chalinze, Wilayani Handeni mkoani Tanga, na kusababisha vifo vya marubani wawili...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ndugu zangu Nipo moshi sasa hapa mjini tunaweza kuonana Jioni kama unapenda 0786 806028 Karibu wanajamii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina Engine 12R ya Toyota Hilux ambayo nataka kuiuza. Haina starter wala carburreter yeyote anayeihitaji au anajua muhitaji anijulishe. unaweza kunitumia email kwenye address yangu ambayo ni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
THIS CAN BE THE FIRST DAY OF YOUR NEW LIFE. “The first step will be the greatest one”-Dennis Whitley “Fifty percent of the battle ends when you make up your mind-S; T.Cathy “The turning point of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
2.9 release of Swahili WordPress is out, you can get it from the Swahili WordPress here WordPress | WordPress in Swahili Enjoy Note: **I am currently the only maintainer of the Swahili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Basi aina ya Isuzu uwezo wa kubeba abiria 40,bila matatizo.lipo sokono kwa ajili ya kukodishwa kwa Ofisi,shule , sherehe kama harusi, nk au taasisi yoyote inayotambulika kwa hapahapa Dar es salaam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nauliza wapi nitapata sehem inapouzwa asali ile mbichi, sio ile ya chupa za konyagi. Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom