Natafuta DCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta DCM

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jossey1979, Sep 30, 2009.

 1. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #1
  Sep 30, 2009
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Men natafuta DCM ila Bei yake isizidi 12m. mwenye info naomba anisaidie. private mail please!!!
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,480
  Trophy Points: 280
  Umeshapima presha? Naona wengi walionunua maDCM kwa bei uliyotaja wanaishia kuwa marafiki wa mafundi. Kuna mmoja alitumia hela ya pensheni, kila napokutana naye naona kama amedata....kama haelewi dunia inaendaje. Kama hujapima presha, kapime kwanza ndio ufikirie kununua DCM kwa bei hiyo.
   
 3. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  I concur with you!!! Ukitaka kuingia kwenye biashara ya magari kwa mara ya kwanza jitahidi gari iwe jipya, otherwise jiandae kuwa rafiki wa karibu na mafundi na wauza spare!!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwa dcm safi sana unaweka injinia ya canter unakamata njia ndefu Mbagala au G.Mboto au Mbezi na Tegeta yapo mengi sana Zambia kule mabovu wanayaleta huku.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  daaaa mshikaji yaaani nimecheka sana badala ya kusikita hata hivyo message sent siwezi kununua gari aina hiyo kama ndo hivo
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,480
  Trophy Points: 280
  Mamii usijaribu. Utakufa muda si wako. Ukiwa na gari la mtindo huo uatajikuta muda wote akuli imehama. Badala ya kuwafikiria mme/mchumba/mtoto/baba/mama nk we akili yako iko kwenye DCM. Leo injini, kesho difu, keshokutwa krankshafti, mara bearing, sijui matairi nk. Dereve akikupigia simu presha inapanda, unajua kuna tatizo tayari. DCM chakavu, ni heri uwe na nyumba ndogo tatu.
   
 7. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #7
  Oct 1, 2009
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  points taken men! Thank you 1,000 times for all of you who have contributed! Welcome for a glass of tusker. This weekend pale b bar plus k moto
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,480
  Trophy Points: 280
  Are you serious? I will be the first to be there! Unajua mi sijuagi kusema NO kwenye ka offer ka bia na kitimotoooooooooz!
   
 9. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kuna dcm inaenda mnazimoja -kiwalani, 25m. Wasiliana na huyu jamaa kwa simu hii-0713-248575
   
 10. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unazisikia au uliishajaribu? nyumba ndogo 3 si mchezo!nyumba ndogo 1 ni sawa sawa na DCM 10,maana DCM likilala na wewe unalala.Nyumba ndogo ispolala na wewe huko ulipo hulali.
  DCM bovu la 12M?lazma uwe na mtu wako pale trafiki maana budget yao yote inategemea kwanza DCM mbovu zikifuatiwa na Hiace.
  Halafu lazima uwe na konda na dreva wenye vichaa hivi,nenda Mbagala au Gongo lamboto uone unavohitaji msuri wa nguvu.
  Na wewe ikifika muda fulani unakuwa kichaa. Driver akisema mzee usukani karibu unachomoka,unamwambia piga mzigo ulete hesabu,usukani ukichomoka ni beep.

   
 11. M

  Mwambashi Member

  #11
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafurahi sana kukuona huku ukitafuta dcm jomba, kwanini usiwahi kule Zambia wanapoyatoa wenzako??
  Ni mabovu lakini ukiyakarabati na kufanikiwa kubadilisha engine unaweza kuafanya biashara.
  Big up jomba!!!!!!!!!!!!
   
Loading...