2001 NADIA 3S NZURI sana hasa kwa MADUU

dullymo

Senior Member
Aug 21, 2009
105
5
IMESHAUZWA - ASANTENI WADAU


toyota nadia ya mwaka 2001
CC 2000
odo 100,000km
3s engine na sio D4


ina wiki moja toka iingie kutoka japan.

5923d1253104252-2001-nadia-3s-nzuri-sana-hasa-kwa-maduu-01.jpg


OPTIONS
Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Rear Window Wiper / A/C:front / Power Steering / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors / No accidents/ radio/ cd/

very good inside and outside.


kuona ni kuamini. fika mwenyewe uione kwa macho yako.

BEI: 11,000,000 maongezi yapoo!

kwa mawasiliano zaidi nitwangie katika
0713 744 144. ukitaka picha zaidi zipo
 

Attachments

  • 01.jpg
    01.jpg
    49.7 KB · Views: 160
Last edited:
ebwana hiyo machine kali sema imekuja kipindi kibaya.
kuna demu m1 nilimsikia anatafuta rav 4 ngoja nimsomeshe aichukue hii. najua sikosi cha udalali japo laki 5
 
ebwana hiyo machine kali sema imekuja kipindi kibaya.
kuna demu m1 nilimsikia anatafuta rav 4 ngoja nimsomeshe aichukue hii. najua sikosi cha udalali japo laki 5

usijali wangu. we njoo naye kila kitu kitakwenda sawa. HAKUNA KAZI YA KANISA malipo kwa bwana.
 
Hii kitu kama itamfaa MJ1 naomba mkuu niwe nalipa kidogo kidogo.
 
Hii kitu kama itamfaa MJ1 naomba mkuu niwe nalipa kidogo kidogo.
dah kaka hapo mtihani kidogo maana hiyo kidogo kidogo hujaniweka wazi ni elf10 10, au milioni milioni maana biashara zenyewe si unajua. lakini hapaharibiki kitu we ni wangu. tuwasiliane tu tufanye mambo
 
kumbe humu ndani kuna mpaka mashemeji.

gari ni nzuri na bei sio mbaya hasa kwa 3s engine.
ila toka mafisadi wakamatwe hali imekuwa MBAYAAAA
 
DullyMo,

Xtrail na Rav4 naweza pata kwa kiasi gani kaka..Rav 3doors kama ikishindikana hata 5doors.
 
DullyMo,

Xtrail na Rav4 naweza pata kwa kiasi gani kaka..Rav 3doors kama ikishindikana hata 5doors.

xtrail sijawahi leta ila rav4 ya milango mi3 ni around 7ml mpaka 8.5 na ya milango mi5 ni around 8ml mpaka 10 ukiagiza kutoka nje. ila ukitaka ilotumika hapa hap aunaweza kupata cheap zaidi ya hapo bro.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom