nadia nyingine inauzwa ya bei poaa

dullymo

Senior Member
Aug 21, 2009
105
5
toyota nadia ya mwaka 2000 silver
CC 1980
odo 110,000km
3s engine not d4

options
Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / A/C:front / Power Steering / AM/FM Radio / AM/FM Stereo / CD Player / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors / No accidents /

premium sound system
very clean inside and outside. haina scratch wala dent
looks and drives very well

bei ni tsh 10,500,000/= maongezi kidogo yapo

kwa maelezo zaidi nitwangine katika
0713 744144
asanteni.
 

Attachments

  • 012.jpg
    012.jpg
    38 KB · Views: 92
dully mo hizi gari unazipata bure au?

Tehe tehe! Sio kila muuza gari ni yakwake men. Huo ndio ujanja wa Town. Kuna wengine wana magari hawawezi kuyauza wajanja wanafanya mambo!
NADIA MPAKA IFIKE HAPA NAUWEZO WA KUPATA KWA 7.7 -8.5, Fanya 8.5 Tufunge mahesabu leo leo mkuu
 
8.5 unaua bob si unajua nimeupgrade rims na vi2 vingine.jivute vute kdg then 2taongea vizuri
 
xtrail sijawahi leta ila rav4 ya milango mi3 ni around 7ml mpaka 8.5 na ya milango mi5 ni around 8ml mpaka 10 ukiagiza kutoka nje. ila ukitaka ilotumika hapa hap aunaweza kupata cheap zaidi ya hapo bro.

Dully asante sana kaka,

Na ambayo imetumika Dar inaweza kuwa kiasi gani mkuu? na km ngapi imekanyaga mguu.
 
Dully asante sana kaka,

Na ambayo imetumika Dar inaweza kuwa kiasi gani mkuu? na km ngapi imekanyaga mguu.

yupo sister wangu mmoja anayo
ni model ya 1999 pia ni 3s engine
imetembea km 105,000 ya silver
huyu dada amechoka hata ukimpa 9,200,000/- unachukua mashine.

very reasonable price hiyo wangu
 
yupo sister wangu mmoja anayo
ni model ya 1999 pia ni 3s engine
imetembea km 105,000 ya silver
huyu dada amechoka hata ukimpa 9,200,000/- unachukua mashine.

very reasonable price hiyo wangu

Dullymo,

Kwa hiyo ni bora kuagiza nje kwa kuwa kuagiza nje uliniambia ni kati ya 7M to 8.5M kwa 3 doors na 8M to 10M kwa 5 doors..
 
yup bro kuagiza nje unapata kwa rahc zaidi but uwe ni mvumilivu mana inachukua zaidi ya mwezi 1 na nusu toka kuagz mpaka gari kutoka bndarini.
 
wanaotaka Rav 4 tuwasiliane huku durban mambo sio mabaya na naweza facilitate kupata at good price na kuweza kusafirisha at low costs hadi tunduma.Just niPM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom