Shamba linauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shamba linauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Al Zagawi, Jul 13, 2009.

 1. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Shamba linauzwa, lina ukubwa wa ekari moja. lipo katika kijiji cha kinzudi, unapita tegeta salasala. linafikika kwa bara bara, umeme upo jirani (unahitaji nguzo moja tu).

  ni muwafaka kwa ujenzi wa makazi(nyumba) au ghala(godown).

  bei ni: Tsh. 25m (maongezi yapo).

  mawasiliano ni: 0713 67 10 20/0787 83 59 48
   
 2. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kinzudi sehemu gani? unapita kwa Mboma?
   
 3. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  naam, unapita kwa mboma (mboma road), unafika mpaka mwisho wa dala dala, pale kuna njia mbili, unafata ya kulia, unashuka bonde, unapanda kisha utakutana na bara bara inatoka kulia kwako, kutokea hapo ni kama mita 200 hivi kwa kuifata hiyo bara bara.
   
 4. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160

  BEI IMEPUNGUA NA SASA NI Tsh. 13m. mwenyewe yuko desperate sana kuliuza nami kama dalali natimiza wajibu.
   
 5. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ikishuka zaidi mitaa ya 5Mil tujulishe, wazee wa dead balls..nitamwagiza mtu hapo Dar awasiliane nawe.
   
 6. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0

  Mkuu niko nawe hasa baada kusoma maelezo ya jinsi ya kufika kwenye shamba!!!
   
 7. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Jamani mambo mazur kama haya huja ukiwa huna pesa! Haya mshamba wote huooo! Na mipesa hamna. Mungu wangu: na ukizikamata mambo kama haya hayatokei. Uuuwiii. Hak'anani. Nimepagawa jamani. Mnisamehe!
   
Loading...