Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam sana Tafadhili kama kuna mtu anayeweza kusaidia jinsi ya kudownload computer ant-virus au duka ambao naweza kununua kwa hapa Dar es salaam Tafadhali naomba unisaidie.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/48268-i-need-a-help.html Hebu mjibu huyo basi atupunguzie mayowe hapa siye!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba inahitajika haraka Tabata bima. Kodi laki 150000 hadi 300000 kwa mwezi iwe na:- uzio na paking. mbali na baa. barabara inayopitika kirahisi. Natanguliza ahsante kwenu wana JF.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu mimi nimeletewa zawadi ya simu na ndugu yangu anaeishi Denmark aina ya Samsung i780. Lugha iliyowekwa mle ndani ni Danish. Nimejaribu kubadilisha to English simu inakataa. Inaelekea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana JF nasikitika kutangaza kifo cha ndugu yetu, mwanaharakati wa utunzaji misitu Ndg. Corodius Thomas Sawe kilichotokea usiku wa kuamkia jana pale Morogoro. Kwa wasiomfahamu alikuwa ni Afisa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa mwenye ufahamu wa bei na ubora wa vifuatavyo,atoe maoni yake 1.Tiles Naomba bei za good Quality tiles.porcelain,ceramic all good.nahitaji za sakafuni,bafuni na jikoni. 2.Gypsum for ceiling...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimetafuta kariakoo kote tyre za gari aina ya suzuki R wagon sikupata,size yake ni 165/55R14, nimepata ambazo kubwa zinagusa body, kuna jamaa wameniambia nikanyanyue bodi ya gari ili niweke hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
German Shepherds wana jamii nimeona tangazo la mbwa nikakumbuka kuwa nilikuwa natafuta Mbwa kwa mda mrefu sana kwa ajili ya ulinzi wa nyumba wakati nipo kazini BILA MAFANIKIO. NAPENDELEA ZAIDI...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
KATIKA hali isiyo ya kawaida mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ramadhani Kalinywa (35-40) mkazi wa Mlandizi amefariki dunia wakati akichimba kaburi la rafiki yake aliyetambulika kwa jina moja la...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Toyota Mark II Grande 2000 year of manufacture The is in very good condition used by a lady Price 9.5mil 0717114409/0755312233
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Kwa yeyote anayefahamu madini aina ya TOMOULIN (GREEN & RED), HAMMERSIST & QUARTZ yanauzwa Mawasiliano zaidi piga simu +255752746068 / +256785433217 Haraka
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Saalaam Sana, Napangisha NYUMBA vy Vyumba vitatu iko UNUNIO BEACH . Kodi ni Shs 520,000 kwa Mwezi ,Maelewanbo yapo. Nyumba ina Vyumba Vinne,Sebule na Dining ,Jiko ,Korridor na Vyoo Vitatu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Asali mbichi asilia inapatikana ya Nyuki wakubwa na wadogokuanzia lita moja hadi lita 1000. kwa mawasiliano zaidi. call me on 0713338342
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Honda CRV- RD1, Color: Metallic Silver, Registered and used in Tanzania Options: Power steering, Power windows, Power mirrors, Auto-Air conditioning, Stereo CD/MD, Central locking / Keyless, Roof...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
wakuu nauza simu hiyo kama nilivyoandika,simu ni mpya imetumika mwezi mmoja tu europe specification napicha hapo chini ni pm ukiihitaji nikushushie This unlocked cell phone is compatible...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu zanu Karibuni katika blogu ya Programu za Kompyuta na Maelezo yake kwa ufupi tembelea www.askmaro.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
gari aina ya toyota surf 1kz lina hali nzuri linauzwa.kama kuna mtu anahitaji aseme na apendekeze bei.(ieleweke engine yake sio zile za mchemsho).linatembea na lipo fit angle zote.linauzwa si kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hey Guys!! Lots have been said about Disadvantages of Pajero Mitsubish GDI. anyone wishing to sale that kind of a car at 6.5m pm me straight away! Deadline is 21st Dec 2009. Tcheers guys!! Enjoy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
salam wadau, natafuta motokaa kwa ajili ya matumizi ya kawaida,kwa bajeti yangu ndogo ya 12M nimefanikiwa kukutana na motokaa hii kwa jina la Mitsubishi Airtrek.kwa wale wataalam wa magari,hii...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Kwa hesima na Ruhusa ya Burn natangaza rasmi tangazo la ndoa yake kama kuna mwenye pingamizi aseme leo au na akae kimya milele alichokiunganisha Mungu na mwanadamu asikitenaginshe. HARUSI YA...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…