Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

WADAU, YEYOTE MWENYE CONTACT ZA ERICK SHIGONGO (particularly email adress) naomba anisaidie!! Nina shida sana na huyo mtu. thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Toyota Verosa, bei 16.5M 2000cc VVti,2001year, gold metalic color with sport rim, 79000km. registered 2011 Toyota harrier 4cylinder, bei16.5M 2000cc, 1998 year, white metalic, with sport rim...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wale ambao waasumbuliwa na magojwa sugu kama kisukari, kansa, Hiv na kadharika wanahitaji kwenda kwa Babu usafiri kutoka Dar Loliondo hupo! Piga simu hizo nawe utahudumiwa.
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Wadau nina shida ya nyumba ya kupanga iringa mjini, kodi isizid 100,000
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sio kwamba siimini tiba ya Loliondo. Ninaamini kama ninamojawapo ya hayo magonjwa nikipata kikombe nitapona. Wasi wasi ni mambo yanayoendelea huku mikoani. watu sasa wameamini tiba ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Heshima mbele Namuomba MODS anitolee Tangazo langu la kuuza gari kwenye habari mchanganyiko aliweke hapa. Bonya hapa Muone nilikosea nikalituma kule Gari hiyo inauzwa haraka
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta gari ya kukodi Toyota Rav4 or Honda Civic 4wd naomba atakayefanikiwa aniambie malipo kwa siku. Thanks
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta nyumba yenye vyumba viwili, sebule,jiko na choo popote DAR ES SALAAM. Iwe ndani ya fensi na sehemu ya kupaki gari. KODI YA MWEZI ISIZIDI LAKI MOJA NA NUSU ( 150,000/=)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tafadhali kama kuna mtu anayefahamu program inayotumika kudesign Wall Calendars Size A2.Naomba anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sasa mchakato wa kuwasaka wanachama (ambao asilimia kubwa ya walengwa ni wanafunzi wanaosoma katika chuo kikuu cha Lumumba-Moscow) unaendelea huku maandalizi ya vikao vya ufunguzi wa tawi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
  • Closed
Kampuni ya Yecco(T)Ltd inakuarifu kuwa sasa utapata modem za kisasa za internet ambapo utakuwa unalipa elfu mbili miatano tu kwa mwezi! Contact 0715865544
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Nivije? Jaman natafuta cable ya kukonekt kwnye tv my psp ili niweze kudisplay kwenye tv na vilevile Psp lcd displays kama zinapatikana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nivije? Jaman natafuta cable ya kukonekt kwnye tv my psp ili niweze kudisplay kwenye tv na vilevile Psp lcd displays kama zinapatikana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
viwanja vinauzwa mbezi luis vya bei nafuu sana. mita 35*25 3milion, 25*25 mita 2milion, 20*20 mita 1.5milion. viko eneo la makazi. Dalali hatakiwi. (kwa taarifa zaidi piga: 0718334726)
1 Reactions
17 Replies
4K Views
NOkia n97 for sale iko bomba imetumika just for one week, for more information call this no 0713 813081.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
iko good condition,if you would like to have it call this no 0773741113.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Happy Birthday LilyFlower! Nakupongeza sana kwa kufanya maamuzi sahihi ya kutoka tumboni mwa Mama yetu siku kama ya leo miaka kadha iliyopita! Mungu akujaalie dazani za miaka ya ziada, na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAKUU HESHIMA MBELE Natafuta Shule ambayo inafundisha Kifaransa hapa JIJINI DAR au kwingineko. Nursery na pia Gradi 1 mpka 7. na pia hapo baadaye secondary Please kwa kupoteza muda wenu kunipa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Eneo hilo lipo sambamba na shule ya international St.Marry. Inauzwa kwa garama ya sh.milion 250/= tu. hati ya makazi na biashara. kwa kupaona tuwasiliane kwa 0713 852 625.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni Fupi, ipo katika hali nzuri. Ina route ya Mwenge Kariakoo. Bei ni 10,000,000/=. Maelewano yapo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom