Advanced EXCEL, pls help

consigliori

JF-Expert Member
Mar 29, 2010
392
89
Wakuu, hebu nijuzeni ni wapi naweza kwenda kuna waalimu wazuri wa advanced MS EXCEL? Msaada wenu tafadhali
 
Sikushauri sana kutafuta waalimu ni bora utafute kitabu ukajifunza mwenyewe. Kwa mtazamo wangu ni kama unapoteza pesa bure tu.
 
Sikushauri sana kutafuta waalimu ni bora utafute kitabu ukajifunza mwenyewe. Kwa mtazamo wangu ni kama unapoteza pesa bure tu.
Hapana huu si ushauri mwema saana. Nilikuwa naamini kama wewe lakini nilikutana na walimu hasa na kama unajua computer kwa level ya intermediate, advanced course ni two days. Lakini kama unamatatizo yoyote kwenye advanced excels wewe post hapa, utasaidiwa. Ila usiende kwa walimu wetu wa mitaani. Kibongo bongo ni kuganga njaa saana.
 
Wakuu, hebu nijuzeni ni wapi naweza kwenda kuna waalimu wazuri wa advanced MS EXCEL? Msaada wenu tafadhali

Nenda Newhorizin center mnazi mmoja ndio mie nilikojifunza..advance,word,access,excel and outlook...wako fine kwa kweli...i would recommend.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom