Habari njema toka kwa mwenzetu Yo Yo

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
misuli.jpg

Nimepata habari njema toka kwa member mwenzetu mtukuka JF senior Expert Yo Yo kuwa atashindwa kujumuika nasi kwa takribani siku zaidi ya kumi kwa sababu atakuwa kwenye mapumziko mafupi.Amesema kwa kipindi hiki atakuwa mbali na internet ili kujiweka fresh kwa ujio wake mpya.

Muda mwingi kaniambia atakuwa madhabahuni na kupumzisha akili fukweni.Katika kipindi hiki ni wazi tutammiss sana na ni wazi jukwaa litapooza kwa kiasi chake.Tumuombee mwenzetu arudi salama kwani bila yeye forums inapwaya.
 
Ndio anakazana na mazoezi hivyo akirudi tutamkoma, haya salam zake huko aliko.
 
mhh uyu ni yeye mwanyewe katumia ID ingne ili ajue watu watasemaje/wanamwonaje km akisema atakwepo?

in shot anapima wanajf mnamkubali au awepo asiwepo ni km ayupo tu?


its like mi ntakufa nyinyin..ili uone je watu watakuambia usikufewewe jaman....tutaishije sasa?
nimependa karesearch kakao..sasa tukaiteje?title yakle i mean...may b PEOPLES PERCEPTION ON YOYO CONTRIBUTION ON JF?
AU WHAT IF JF WITHOUT YOYO?
 
mhh uyu ni yeye mwanyewe katumia ID ingne ili ajue watu watasemaje/wanamwonaje km akisema atakwepo?

in shot anapima wanajf mnamkubali au awepo asiwepo ni km ayupo tu?


its like mi ntakufa nyinyin..ili uone je watu watakuambia usikufewewe jaman....tutaishije sasa?
nimependa karesearch kakao..sasa tukaiteje?title yakle i mean...may b PEOPLES PERCEPTION ON YOYO CONTRIBUTION ON JF?
AU WHAT IF JF WITHOUT YOYO?
Hizi ni salamu zake msiwe na wasiwasi atakapokuwa likizo,ni kijana mwema mcha Mungu mpenda watu na ndio maana hata hapa ni kipenzi cha watu pia.Hayo mengine ya kuwa mimi ndie sio muhimu kwa sasa.Mimi siwezi kufit viatu vyake,msinipe sifa nisizozistahili wandugu
 
YO-YO akuwe na yeye kama mwenzake Nyani Ngabu BAN zisizo na maana aziepuke, lakini ni mtata sana mpaka leo sijatambua ni jinsia gani
 
lakini ni mtata sana mpaka leo sijatambua ni jinsia gani
Nawasiliana nae mara kwa mara kwa njia ya barua pepe anatumia jina hilo hilo sikuwahi kumuuliza jinsia yake sijaona vema kumuuliza jinsia mara nyingi tunaongea nae kuhusu mambo ya kiimani
 
mtakua vibaka tu huko vijijini, mnabeba michuma hiyo kisha mnakunywa Mnazi, kisha........................

misuli.jpg
 
Ndo yeye yeye huyo...si unaona hata namba za post zenyewe zilivyo chache....Mtu mgeni mgeni tu atajuaje kama Yo Yo anahitajika kiasi hicho. Hongera na katesti zali kako, ingawa tumekastukia.
Nasikia umekuwa mkenya siku hizi......Wasalimie watani!!
 
Hivi kweli hizo sura na eneo la mazoezi kuna usalama hapo. Abiria chunga mzigo wako.
misuli.jpg
 
Back
Top Bottom