Radio Mpya&zinazoanza Tanzania 2011.

Radio Mpya&zinazoanza Tanzania 2011.

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
728
Reaction score
322
Habari yako msomaji,
Naomba msaada, natafuta orodha ya radio mpya zitakazo anza kurusha matangazo yake/ambazo zimeanza kurusha matangazo yake 2011. Natafuta majina na contact zake. Naamin hapa Jf niukumbi mkubwa kama kuna mtu anadetails hata za radio moja anaweza kunidondoshea!

Asanteni.
 
Dodoma fm contacte zao search kwa google
 
Ntakutafutia mawasiliano ya tume ya mawasiliano....huko naamin utapata majibu mengi.
 
Back
Top Bottom