Radio, radio, radio, huduma na biashara. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio, radio, radio, huduma na biashara.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Radio Producer, Jun 13, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habari yako msomaji.
  Home Radio Ministry inakuletea huduma zifuatazo:-
  1. Tunasaidia radio mpya zinazoanzishwa kwa kuandaa vipindi vya nguvu, programming ya wafanyakazi kupewa mafunzo.
  2. Tunaandaa schedule ikiwa na vipindi kamili pia tunaadaa program proposal zake.
  3. Tunaadaa vipindi, matangazo ya biashara, jingles nk.
  5. Tunatoa mafunzo ya kutumia software za radio kama, Google Radio automation system, Tune tracker Radio automation, Virtual DJ, BPM Studio, Adobe audition kwa ajili ya production, nk.
  6. Tunafanya kazi zote za radio production.
  7. Tunatoa mbinu za ubunifu katika kuingiza kipato cha radio yako.

  Ni kwa radio yoyote iwe ya kidini au kawaida. Wasiliana nasi: radioproducer@rediff.com

  Download huu mfano wa schedule tunazotengeneza: Usiutumie kwa radio yako una hati miliki View attachment 31883
   
 2. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Samahani mkuu, unauza hiyo schedule au unaweza kuandalia nyingine? Je, hivyo vipindi nani ataviongoza au utatoa mafunzo kabla?
  Asante.
   
 3. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kama unahitaji ntunawasiliana utapewa fomu ya kujaza ili kuonesha ni radio aina gani unayotaka kuanzisha na malengo yako halisi ninini, pia utaulizwa walengwa hususani wa radio unayoanzisha, lengo la kuanzisha radio na mtindo unaopenda radio iutumie.

  Kuhusu vipindi tutatoa mafunzo kwa muda mfupi jinsi ya maproducer kuandaa hivyo vipindi na pia kuna mwongozo kwa kila kipindi ambao huambatanishwa na schedule (program proposal) ukitaka hata demo ya kila kipindi inaweza kuandaliwa licha kwamba price itapanda kidogo!
  Asante.
   
 4. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu kuna radio zinaanzishwa hapa Dodoma mbili, nitafanya checking na wahusika then nitakuapa mawasiliano unaweza ukawasaidia!
   
 5. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Your welcome Logo to share your msaada
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mkuu, ongera sana kwa kufanikiwa kupata kampuni ya kuifanyia kazi.
   
 7. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Bado mkuu nasubiri huyu jamaa Logo ameniahidi vitu si unajua humu JF kuna vigogo wengi tu kumbe!
   
Loading...