Chumba /fremu ya biashara inapangishwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Ipo changombe, karibu na maduka mawili na kona ya barabara ya kuelekea ukumbi wa sigara
inatazama barabara ya changombe.
Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka la kawaida, duka la dawa, saloon ya kiume / kike au ofisi m etc
bei ni 70,000/=, kwa mwezi na mkataba ni wa miezi 6 (sita).
Karibuni wapendwa
 
Back
Top Bottom