Viwanja KIBAHA

Viwanja KIBAHA

Hamad Mfaume

Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
38
Reaction score
1
Kwa yeyote anaetaka viwanja vya kujenga nyumba, Shule, Yadi, Petrol Station na nk. Call 0754383174
 
Mkuu tunaomba bei na ukubwa wa eneo! Ili tuanze kusogea.
 
Uku kibaha nikama uzoa tu. Kuna eka 3 milion 15. Kuna robo eka na trip6 za mchanga milion tsh 5.5. Ekari 1 milion 7. Kuna 21x 30. Tsh mil 3.8 Sehemu zingine bei Maelewano
 
Eneo la shule ekari 13 lipo Kibaha Miembe Saba, mita 700 toka Morogoro Road bei Milion 180.
Jingine ekar 30 lipo km 5, toka Morogoro Road bei Mil 190.
Jingine ekari 3 limegusha Morogoro Road bei mil 200.
 
Ndio Ekari 30 zimepimwa.
Ekari 13 zimepimwa.
Ekari 3zimepimwa.
Pia kuna ekari 14 zipo mita 50 toka Morogoro Road Zimepimwa pia.
via Mobile
 
Uku kibaha nikama uzoa tu. Kuna eka 3 milion 15. Kuna robo eka na trip6 za mchanga milion tsh 5.5. Ekari 1 milion 7. Kuna 21x 30. Tsh mil 3.8 Sehemu zingine bei Maelewano

Hapo kwenye red pamepimwa na pako umbali gani kutoka barabarani, je huduma muhimu (maji, umeme barabra) zipo? Kama una kingine chenye sifa kama hizo itafaa pia?
 
Kwenye red hapaja pimwa ila palipo pimwa papo pana viwanja 8 vya 30x40. Bei M4.5 . Call 0754383174.
 
Back
Top Bottom