Nyumba ya kupanga inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga inahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by CPU, Jun 10, 2011.

 1. CPU

  CPU JF Gold Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Inahitajika nyumba ya kupanga ambayo itakuwa maeneo ya Mwenge, Survey, Makongo na viunga vyake.
  Yaani iwe maeneo ya Mwenge au karibu na Mwenge.

  Iwe na chumba Master (Choo na bafu ndani ya chumba), na Sebule. Inaweza ikawa na jiko ndani yake pia.
  Iwe imeunganishwa Maji ya bomba na umeme.
  Isiwe sehemu ambayo ni chakavu sana au ambayo imetelekezwa, mfano paa bovu, milango mibovu, vyoo vibovu au miundombinu mingine kuwa mibaya HAZITAKIWI.

  Iwe katika hali nzuri kiusalama.
  Itatolewa Tshs 20,000/= (elfu ishirini tu) kama gharama ya usumbufu kwa atakaefanikisha kupata chumba.nyumba iliyotajwa.
  Bei isizidi Tshs 200,000/= kwa mwezi (Laki mbili tu) na utalipwa cash bila kuacha viporo
  Kwa wenye maeneo hayo walio tayari nitumie PM
  Natanguliza shukrani

  CPU
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kimara unaweza kupata kama hiyo unayohitaji kwa bei nzuri....kama uko interested niambie nikuunganishie!
   
 3. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #3
  Jun 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Changanyikeni zipo cheki na huyu jamaa no 0782 640414
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hivi madalali sku hiz wanalipwa elf20?!
   
 5. j

  jmisana Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimara temboni ipo kwa nusu bei ya hiyo karibu
   
 6. j

  jmisana Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kimara Temboni ipo nzuri sana na ni nusu ya hiyo 0715/0754 695002
   
Loading...