Kuna sehemu ya kiwanja inauzwa.
mahali: UBUNGO MSEWE (kuelekea kanisa la ROMAN CATHOLIC - MSEWE ukitokea Morogoro road ukapitia pale KIBO)
ukubwa: mita za mraba 1000 (urefu 40m x upana 25m)...
Nyumba ipo Maeneo ya Banana barabara ya kwenda Kitunda kule Relini.
1.Vyumba Vitatu vya Kulala na Master Moja
2.Packing na Geti ya Magari Matatu madogo
2.Umeme na Maji ya Kisima (Kama una...
Kuna sehemu ya kiwanja inauzwa.<br>
<br>
mahali: UBUNGO MSEWE (kuelekea kanisa la ROMAN CATHOLIC - MSEWE ukitokea Morogoro road ukapitia pale KIBO)<br>
ukubwa: mita za mraba 1000 (urefu 40m x...
VIWANJA VINAUZWA MBEZI MWISHO Mita 25*22 2.5 Mil., Mita 25*40 4.5Mil.
UMEME UPO.
vipo km 2.5hivi kutoka morogoro road upande wa kulia ukitokea mjini
(Kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577).
Gari Gari Gari Gari Gari......................DUET
Gari TOYOTA Duet 1999 inauzwa bei nzuri sana
Specifications
Mileage 42,000 Kilometres tu,cc 1000,PWs,AT,Gasoline(petrol)
Ipo katika very good...
Katika kuendeleza watanzania kuweza kutumia usafiri wa ndege kwabei rahisi
kampuni ya ndege ya rwandair imetangaza promo kwa kila m tanzania
sasa nauli za kwenda bujumbura tu usd 350 tax inclusive...
Habari zenu wana JF,Nyumba ya kisasa ina master room 1,vyumba vya kawaida viwili,ina sitting room,dinning room na frem ya duka pia ina umeme,ni self container vilevile ina hati inauzwa iko tabata...
Wakuu poleni na kazi!natafuta frem ya kufungua biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi(hardware) mitaa ya kuanzia tangi bovu hadi bunju!iwe along the road!nawasilisha.
Mashamba, mashamba, mashamba, kama unanahitaji shamba Bagamoyo barabara inayojengwa kuelekea msata maeneo ya kidomole Km 2.5 toka barabarani kuu bei ni 1.2m kwa heka zipo heka 20, ni pm
Habari wadau,
Ninauza gari yangu Toyota Cami (Sports Model - 1999) kwa bei ya chini kabisa … 7M tu
Specifications:
Iko katika excellent running condition (Imetembea KM 77,000 tu)
5-door...
Ndugu wanaJF,natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makongo juu karibu na chuo kikuu ardhi cha bei kuanzia 35000 hadi 50000,kwa mwezi! Kwa mwenye kufahamu naomba anijulishe kwenye...