Natafuta Kiwanja Iringa

Natafuta Kiwanja Iringa

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,453
Reaction score
4,658
Wakuu, ninatafuta kiwanja Iringa ambacho naweza kuweka Guest house. Mwenye nacho PM please.
 
Tatizo wauzaji wa viwanja Iringa wengi hawaijui JF
 
Kunatangazo limetoka iringa wanauza viwanja eneo moja linaaitwa mafifi. Ni uwanda wa juu. Plan ni kwaajili ya wenye nazo kwani lile ni eneo la biashara na maendeleo. Kutakufaaa sana. Bei ya chini ya serikali ni 4.5 mil kwa kiwanja kidogo. Mita moja ya mraba ni shs 4000. Kama huna msaada mwingine ninaweza kukusaidia.
 
Kuna kiwanja kilichopimwa pale Kibwabwa karibu na wakala wa mbegu za miti wa serikali,barabara ya kwenda Mby baada ya kupita Ivory, je maeneo yale yanakufaa.
 
malila icho kiwanja bei gani aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom