Nyumba inauzwa Banana kwa Bei ya 35m -Relini barabara ya kwenda Kitunda

saggy

Senior Member
Nov 12, 2008
153
70
Nyumba ipo Maeneo ya Banana barabara ya kwenda Kitunda kule Relini.

1.Vyumba Vitatu vya Kulala na Master Moja
2.Packing na Geti ya Magari Matatu madogo
2.Umeme na Maji ya Kisima (Kama una Pampu unaunganisha maji kwenye Network ya ndani)



Kwa Mawasiliano zaidi,na Bwana Erick kwa Namba :0652685070
 
mbona bei ndogo sana,. hiyo nyumba ilijengwa mwaka gani? kwanini mumiliki ameamua kuiuza? je sehemu hiyo haina hitirafu ya kiserikali? toka codinet zake tuicheki kwenye google earth
 
Bei poa,tatizo la sisi watanzania tukiuza kitu lazima kina kasoro hatupendi kuuza kitu hivihivi,kwani hicho kiwanja kina hati?ukitaka kununua nyumba namna hiyo kama haina hati inabidi uende ardhi kupata master plan,unaweza kukuta ni sehemu ya makaburi au imejengwa juu ya bomba la serikali au ni sehemu ya barabara au airport kwa hiyo kuna vitu vingi vya kuangalia.
 
Wasilianeni na Huyo Dogo aliyeachiwa nyumba kwa Namba niliyowapatia hapo Juu.Mwenye Nyumba amehamia France na Familia yake ndio maana wameamua kuuza hiyo nyumba,kama kuna mwenye Interest nayo awasiliane na huyo Dogo na ajiridhishe mwenyewe kuhusu mamabo yote kabla ya kuamua kununua,wenye nia wawasiliane naye.

Nawasilisha
 
We subiri Picha wenzako wanafanya Negotiation za kuinunua,pole sana
 
wanajamii hapa kuweni macho, ukiwa unatoka banana kuelekea kitunda, maeneo yote yaliyopo kabla ya reli yapo kwenye mpango wa upanuzi wa airport. usiingie mkenge, sumu hiyo.
 
mbona bei ndogo sana,. hiyo nyumba ilijengwa mwaka gani? kwanini mumiliki ameamua kuiuza? je sehemu hiyo haina hitirafu ya kiserikali? toka codinet zake tuicheki kwenye google earth

Tehe tehe tehe... Ukigoogle earth dar utaona ni kama mkusanyiko wa uchafu, sasa sipati picha kama kweli hiyo nyumba utaiona...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom