Nauza TOYOTA Cami (Sports Model) - 1999 ... Mil 7 tu

tz_investor

Member
Jan 28, 2011
60
3
Habari wadau,

Ninauza gari yangu Toyota Cami (Sports Model - 1999) kwa bei ya chini kabisa … 7M tu

Specifications:
  • Iko katika excellent running condition (Imetembea KM 77,000 tu)
  • 5-door 5-seater offroad utility vehicle,
  • petrol (gasoline)
  • 4-cylinder 16-valve straight (inline) engine,
  • 1297 cm[SUP]3[/SUP] / 79.1 cu in / 79.1 cu in(cc), Privacy glass, Air conditioner, Power window, Centralized door lock
  • Automatic 4-speed transmission, ABS (Antilock brake system), Airbag (Passenger), Airbag (Driver)
  • All wheel drive (Fulltime FWD), Rear wiper, Front spoiler
Sababu ya Kuuza: Nimeagiza gari nyingine hivyo nabadilisha gari ya kutumia.

Interested serious buyers only … (pics attached).

UPDATE: SOLD!!

IMG0022A_1.JPG


IMG0021A_1.JPG



IMG0014A_1.JPG
 
Registration Date in Tanzania? Je Number Yake inaanza na nini? Japo Mbili za mwanzo tu!!! e.g BQ*, AZ* etc
 
Wadau the deal was closed yesterday! Nawashukuru wote mliochangia uzi huu na wote mliosoma bila kuchangia. Asanteni sana mlionipigia simu pia (zilikuwa nyingi). Finally, i had to decide basing on the FIFO model, so the first n' luckiest person had it all! Asante JF!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom