Sehemu ya kiwanja kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sehemu ya kiwanja kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Somoleo, Jul 18, 2011.

1. S

Somoleo Member

#1
Jul 18, 2011
Joined: Sep 22, 2010
Messages: 13
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Kuna sehemu ya kiwanja inauzwa.

mahali: UBUNGO MSEWE (kuelekea kanisa la ROMAN CATHOLIC - MSEWE ukitokea Morogoro road ukapitia pale KIBO)

ukubwa: mita za mraba 1000 (urefu 40m x upana 25m) zinauzwa

umeme: upo (nguzo kiwanjani - huhitaji kuongeza nguzo, bali kulipia na kuwekewa mita ya TANESCO kama utajenga)

maji: yapo (DAWASCO - kuna dira ya maji kiwanjani na maji hutoka kwa mgawo kama sehemu nyingine)

barabara: inafika mpaka kiwanjani na sehemu zote za majirani

majirani: tayari wamejenga nyumba zao na wanakaa hapo

bei: milioni 37 (TShs. 37,000,000/=)

manufaa: unapata kiwanja karibu na maeneo ya mjini; unaweza kupita njia ya chuo kikuu kuelekea katika shughuli zako (kukwepa foleni ya magari pale UBUNGO mataa)

mwenye kuhitaji: simu namba: 0788-230578

Loading...