Kiwanja kinauzwa Mbezi juu

Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
828
Kiwanja kipo Mbezi juu umbali mfupi kutoka Mbezi Garden hotel au St Marys. Kina view nzuri sana ya bahari. Bei m 8 tu. Contact 0715549911
 
ukubwa wake ni kiasi gani?low density,medium nk.kimepimwa?kutoka mbezi garden had st.mary's sio parefu,ila kiwanja kipo mkabala na st.mary's au ni kule baraza la mitihan?plz dadavua watu watie timu.
 
ukubwa wake ni kiasi gani?low density,medium nk.kimepimwa?kutoka mbezi garden had st.mary's sio parefu,ila kiwanja kipo mkabala na st.mary's au ni kule baraza la mitihan?plz dadavua watu watie timu.
hufiki baraza la mitihani, kutoka mbezi garden hadi kiwanjani haizidi nusu saa. Ni kama 180mita za mraba kuna slope ila ukuta imara umejengwa kuushika udongo vizuri. Kuna tofali na vipande vingi kwa ajili ya kifusi. Eneo halijapimwa ila hakuna mgogoro. Muuzaji ni ndugu anajenga jirani so anahitaji hela. Karibuni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom