Gari dogo aina ya Nissan Premeler inauzwa, ipo katika hali nzuri sana. Piga 0786 046484 au gmwiga@yahoo.com
leo kweli nimeamini kuwa kuna wageni kwenye forum!!!!😛ound:😛ound:😛ound:😛ound:Gari dogo aina ya Nissan Premeler inauzwa, ipo katika hali nzuri sana. Piga 0786 046484 au gmwiga@yahoo.com
Gari dogo aina ya Nissan Premeler inauzwa, ipo katika hali nzuri sana. Piga 0786 046484 au gmwiga@yahoo.com
Nashukuru mkuu, nitaweka hizo picha na details nyingine. Ujue wengine tunatumia simu wakati mwingine kupost hizi habari. Ila kwa kuanzia, gari ipo mkoani dar es salaam, kama wewe unaweza kuwa maeneo ya posta mida ya kazi basi unaweza kuliona kwa macho na si kwa picha tena.Kabla mtu hajavutiwa kukupigia simu, lazima angalau alione gari lenyewe (picha mbili, tatu, nne zinahusika hapa...), useme gari imeshachapa lapa kilometer ngapi, unatarajia kuliuza kwa shilingi ngapi na kwa sasa gari hilo lipo mkoa gani (kwa urahisi wa kuliona...).Please do the nidiful..
Weka bei sio gari linauzwa tu.Nashukuru mkuu, nitaweka hizo picha na details nyingine. Ujue wengine tunatumia simu wakati mwingine kupost hizi habari. Ila kwa kuanzia, gari ipo mkoani dar es salaam, kama wewe unaweza kuwa maeneo ya posta mida ya kazi basi unaweza kuliona kwa macho na si kwa picha tena.