Natafuta chumba cha kupanga,makongo juu.

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Ndugu wanaJF,natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makongo juu karibu na chuo kikuu ardhi cha bei kuanzia 35000 hadi 50000,kwa mwezi! Kwa mwenye kufahamu naomba anijulishe kwenye 0757665701/0787665701.Ahsanteni wakuu!
 
0713766256 jamaa anaitwa Mwesigwa anaishi makongo juu jaribu kumuulizia naye anapangisha au kama hutoridhika hapo waweza muuliza wapi kwingine. Nyumba ipo karibu na kituo cha daladala Makongo -Juu magari yanapogeuza.
 
Mmmh! Me nasoma ardhi univrsty,nilisahau kusema nahtaj maeneo ya karibu na chuo,nway thanxs!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom