Nyumba mpya inapangishwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Ipo Makongo Juu. Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, store, garage, uzio, kodi shs 750,000/- kwa mwezi. kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
 
Attachments

  • IMG_0219.JPG
    IMG_0219.JPG
    34.1 KB · Views: 107
  • IMG_0216.JPG
    IMG_0216.JPG
    46.9 KB · Views: 85
  • IMG_0217.JPG
    IMG_0217.JPG
    48.4 KB · Views: 81
  • IMG_0218.JPG
    IMG_0218.JPG
    41.6 KB · Views: 79
  • IMG_0220.JPG
    IMG_0220.JPG
    52.5 KB · Views: 83
  • IMG_0222.JPG
    IMG_0222.JPG
    30.6 KB · Views: 69
  • IMG_0223.JPG
    IMG_0223.JPG
    27.2 KB · Views: 78
  • IMG_0224.JPG
    IMG_0224.JPG
    24.5 KB · Views: 74
  • IMG_0225.JPG
    IMG_0225.JPG
    14.7 KB · Views: 76
  • IMG_0226.JPG
    IMG_0226.JPG
    16.8 KB · Views: 71
  • IMG_0227.JPG
    IMG_0227.JPG
    26.5 KB · Views: 78
Ipo Makongo Juu. Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, store, garage, uzio, kodi shs 750,000/- kwa mwezi. kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
dah samahani mzee, nilipoona kodi nikasahau kusoma maandishi mengine.
 
anataka kodi ya mwaka? 750,000x12= 9,000,000. na wewe 750,000.

Kweli maisha yamepanda. yaani nyumba ya kupanga unalipa 25,000 a day.

Hivi kama wewe ni mfanya kazi wa kawaida utatoa wapi 9m. kolipa kodi at once.

Naona serikali itusaidie hapa kwenye kolipa kodi kwa mwaka.

Mbona wenzetu kenya wanalipa monthly?
 
Duuhhhh! bei ya swift.
 
hiyo bei ni kubwa sana ukilinganisha na nyumba ilivyo kwani hiyo ni nyumba ya kawaida tu ambayo iko eneo la mbali kutoka mjini

Angalizo: Investment ya nyumba ya kuishi si nzuri kwa mwekezaji kwani return yake inachukua muda mrefu sana mpk urudishe hela yote. Kama umepata hela ni bora ufanye biashara zenye quick turnover. Matokeo ni kama haya ambayo mtu anaweka nyumba ya kawaida iliyo nje ya mji kwa bei kubwa ili afidie costs alizoingia kwa muda mchache ilo haliwezekani kama ingekuwa Masaki au Mikocheni sawa ila hata kwa Sinza hiyo bei ni kubwa achilia mbali huko Makongo juu sijui wapi
 
Jamani watu wanalipa hizo kodi ambazo wewe unasema ni kubwa. Wako kama wewe kwa kuwatazama au wewe unaweza kuonekana hupo juu kuliko wao kiuchumi lakini utashangaa katika matumizi wao wapo juu. Ikiwa wewe ni mtumishi wa serikali chukulia kuwa hiyo kazi ya serikali ni chanzo nambari moja cha kukuletea kipato. Sheria haikukatazi baada ya kazi hiyo ukafungua banda la chips mayai. Jamani watu wanazo hizo fedha utadhania wao ndio wanazitengeneza.
 
anataka kodi ya mwaka? 750,000x12= 9,000,000. na wewe 750,000.

Kweli maisha yamepanda. yaani nyumba ya kupanga unalipa 25,000 a day.

Hivi kama wewe ni mfanya kazi wa kawaida utatoa wapi 9m. kolipa kodi at once.

Naona serikali itusaidie hapa kwenye kolipa kodi kwa mwaka.

Mbona wenzetu kenya wanalipa monthly?

Standard za kimataifa ni miezi mitatu na si zaidi ya hapa!huku bongo tunapelekeshana tu!!
 
Mh Bongo pagumu saana. Hii ni sawa na rent niliyokuwa nalipa ughaibuni kwa bei ya room moja miaka 2 iliyopita. Sijui sasa hv patakuwaje! Lakini kule umeme wa uhakika, maji na usafiri.
Kusema hivi haijustify hii charge. Maana kuna factors nyingi saana miongoni mwao ikiwa ni vipato vya watu wa eneo husika. Km serikali itashindwa kuweka miundombinu ya kueleweka, kupima viwanja vya kutosha na kuweka huduma muhimu kwenye maeneo husika, watu wataanza kulala barabarani. Maana hata kuishi Kibaha au Bagamoyo, very soon haitawezekana.
 
Pembeni ya hiyo nyumba kuna nyumba mbili kama hiyo zina wapangaji tayari.Pitia upya mtazamo wako. Biashara ya upangishaji nyumba ni biashara nzuri sana nadhani ni nzuri hizo unaziida zenye quick turnover. Huko Masaki unatakiwa uwe na mtaji mkubwa kuliko makongo, mikocheni au sinza. Kuna plot ninaziuza huko zenye ukubwa wa sqm 2000 kwa USD 1mil.
 
Inaweza kuwa quick turnover lakini si profit. Mkuu wewe ofisi zako zipo wapi? Upo registered?
 
Sasa ni mda mwafaka kwa hii serikali magamba ianze kutoza kodi kwa hawa watu wenye nyumba hizi ni pesa nyingi sana kwa mtanzania wa kawaida!!! hii nyumba na ya kawaida sana na pia serikali iwafuatilie hawa madalali mana wao na njaa njaa zao ni chanzo cha hii bei...eti unakuta nyumba pale masaki inauzwa dola mil 1 wakati nyumba kama hiyo hiyo inauzwa California dola laki 3!!! hivi hii nchi ikoje?!!
 
Back
Top Bottom