Nyumba inauzwa-tabata misewe

tata mvoni

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
534
81
Habari zenu wana JF,Nyumba ya kisasa ina master room 1,vyumba vya kawaida viwili,ina sitting room,dinning room na frem ya duka pia ina umeme,ni self container vilevile ina hati inauzwa iko tabata misewe.BEI kuanzia tshs.40 milioni maongezi yapo.Mawasiliano 0715404808.
 
Jamani tujaribu kuwa wazalendo siyo kumkatisha tamaa mtu, kitu kikiuzwa baei kubwa Aaa! wauzie mafisadi, well 40M aa nyumba nina shaka nayo? Kama una mashaka na unauhakika si useme tu!!

Muuzaji ambatanisha picha tuone then tukajiridhishe wenyewe huko wizarani.
 
Mkuu sema kipande kipi cha Tabata - Misewe, hiyo nyumba haiko ktk nyumba zitakazobomolewa kupisha barabara ya Vingunguti/Baraquda. Hiyo nyumba haijakalia Bomba la maji kubwa toka kwa Bush kwenda Airport kuvuka bonde la Msimbazi? Je haiko ndani ya eneo lililotakiwa kujengwa mtambo wa Biogas?

Fafanua mkuu, mimi nitakusaidia kupiga debe.
 
  • Thanks
Reactions: LAT

Similar Discussions

Back
Top Bottom