Parachichi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2008
- 510
- 102
Wakuu poleni na kazi!natafuta frem ya kufungua biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi(hardware) mitaa ya kuanzia tangi bovu hadi bunju!iwe along the road!nawasilisha.
Ameeleweka lakini, anataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza hardware materials.Duu!! Takuambia mida
Weka namba ya simu kaka ili tukutwangie baadae.Wakuu poleni na kazi!natafuta frem ya kufungua biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi(hardware) mitaa ya kuanzia tangi bovu hadi bunju!iwe along the road!nawasilisha.
Kuna frem za bei tofauti hapa, we sijui una uwezo na ipi. Kuna za kuanzia alf 30, 50, 80, 100000, 150000 hadi laki 2. Sema unataka ipi, 0786 046484Wakuu poleni na kazi!natafuta frem ya kufungua biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi(hardware) mitaa ya kuanzia tangi bovu hadi bunju!iwe along the road!nawasilisha.