Lucas j. Makombe(kwiro sec school-2001) aliyepoteza certificate ya a level anitafute | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lucas j. Makombe(kwiro sec school-2001) aliyepoteza certificate ya a level anitafute

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Chief Ken Lo, Nov 8, 2011.

 1. C

  Chief Ken Lo Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wanajamvi...
  nina A Level Certificate ya ndugu LUCAS J. MAKOMBE - KWIRO SECONDARY SCHOOL mwaka 2001...
  naomba ndugu huyu au yeyote anayemfahamu amjuze ili ani PM niweze mpatia mzigo wake huu...
  asanteni...
   
 2. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Chief Ken, Uko safi mkuu!
   
 3. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ubarikiwe mkuu kwa moyo safi. Big up
   
 4. C

  Chief Ken Lo Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wima mkuu...
   
 5. C

  Chief Ken Lo Member

  #5
  Nov 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru mkuu...
  unalionaje wazo langu, nitafanikiwa kumpata huyu mtu?
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  huu ndio utu. safi chief.
  nakushauri kitu kimoja. akija mtu yeyote kudai kua ni cheti chake aje na cheti cha kuzaliwa,
  kitambulisho cha kura, O level cerificate(mana hyo ni A Level) na afdavit plus barua ya utambulisho toka mtaani/kijijini kwao
  yaan kwa kifupi kua makini sana usije ukajikuta umempamwizi cheti cha jamaa.
   
 7. C

  Chief Ken Lo Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru mkuu...
  nitafanyia kazi ushauri wako...
   
Loading...