Nauza photocopy canon ir 1600.

Nauza photocopy canon ir 1600.

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
8,098
Reaction score
10,945
Kuna mashine ya kopi inauzwa ,bei m 1.ipo katiak hali nzuri,imetumika miezi 3 tangu inunuliwe (mtumba)ipo DSM ukihitaji PM please!
 
utapatikanaje maana hakuna mawasiliano yoyote
 
Laki sita kaka kama vp ni PM!!!!nikupe fasta!
 
ni zile ndogo ama kubwa?ni vyema ukiweka mawasiliano yako hakuna kitu nisichokichukia kama PM,Weka contactss naamini serious buyes watacall
 
Back
Top Bottom