Quinty
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 462
- 74
Ndugu wanajf nauza iphone 3Gs nzuri nimeitumia miezi michache tu haina mikwaruzo na inatumika kwa namza zote za Tanzania, ina cover yake, chaja na earphone zinatwanga vyema. Bei ni 449,000/- Kwa anayehitaji aniibox