Mzigo mpya

Mzigo mpya

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
567
Reaction score
55
Karibuni mje mjipatia vitu mbali mbali km vile vitenge toka Nigera,kongo nk tumezingatia ubora zaidi.tupo tunduma mbeya.pia kalibu kwa ushauli.kwa ushauli zaidi +255715005450.+255767005491.au joseph.eric86@yahoo.co.uk
 
ushauri wa...?....well...nakuja sasa hivi....kuna wax...?
 
ushauri wa kuvaa vitenge na vitu mbalimbali.....lol
 
Ujue kila nguo na rangi yake pia na mtu mwenyewe alivyo au umbile la mtu husika
mmeshaanza kuwa na tabia za mafundi wa kushona nguo kushika shika wake zetu. Hala hala mti na jicho ha ha ha ha
 
Kalibuni mje mjipatia vitu mbali mbali km vile vitenge toka Nigera,kongo nk tumezingatia ubora zaidi.tupo tunduma mbeya.pia kalibu kwa ushauli

Mnapatikana Tunduma? Nakuja...
 
Ndugu yangu sisi ni wauzaji tu na sio mafundi hivyo tabiai
mmeshaanza kuwa na tabia za mafundi wa kushona nguo kushika shika wake zetu. Hala hala mti na jicho ha ha ha ha
 
weka bei kila dara ja na bei yake siyo nije hadi tunduma nishindwe bei inakuwa so
 
Kwa Kiswahili hicho mjomba hupati mtu.Tengeneza lugha kwanza,Anzia na neno " karibu wala siyo kalibu"
 
Back
Top Bottom