Nyamburi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 306
- 37
Wana jamii nina nissan gl ya 1998yangu iliyopata matatizo kwenye board lake,nimeamua kuuza spare zake zote kama engine (TD42),Chasis,diff zote mbili,gearbox n.k.je wana jamihi kuna yoyote anaejua napoweza kuuza hizi spare anisaidie kunijuza?nipo dar es salaam...mawasiliano ni 0755646049 asanteni