spare za Nissan Patrol jntcsy61

spare za Nissan Patrol jntcsy61

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
wadau nauza spare nyingi tu za Nissan Patrol jntcsy61 ya 1998 ilipata mushkeri kwenye body lake sasa nimeamua kuuza jumla, spare hizo ni kama,Engine TD42,gearbox,dash bodi,taa zote,ngao ya mbele(ya chuma),shock absorber,Tyre na rim zake,milango ya nyuma na kati na vinginevyo vingi,vitu vyote vipo katika good condition na bei ni poa kabisa kwa mawasiliano zaidi 0784670026 au 0755646049
 
Back
Top Bottom