Natafuta Apple Ipad2

Natafuta Apple Ipad2

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Wapi ninaweza kupata Apple Ipad2 Tanzania?
Tafadhali anayejua au anayo, naomba anijulishe pamoja na bei.
 
Nenda maduka ya posta Posta, city Center.. Hapo ni mpango mzima
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu. Thanx!
 
Ipad 64GB,3G, Wifi, slightly used ipo moja, US$1,000 ina kila kitu chake. Black color (ni best kwa wala maandazi na vitumbua wa bongo).

Kumbuka hizi ndio latest na high specs, hakuna bora ya hiyo.
 
Back
Top Bottom