Ninauza gari yangu Mitsubishi Canter Truck tipper la Mwaka 2003 liko Zanzibar bei millioni 20 sababu za kuuza nikuwa nahitajia pesa haraka nimetokezewa na matatizo kwa mwenye kutaka au kuliona...
Wakuu nataka kujifunza kijapan, beginners stage, kwa yeyote anayeweza nishauri nianzaje ili niweze kusoma for the shortest time as possible, ntamshukuru sana. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Habari wana JF members
Ninauza Soseji kutoka Peramiho, Songea Mkoani Ruvuma ni soseji nzuri kwa familia. Watoto huzipenda sana hizi, ukizihitaji tafadhali wasiliana nami kwa simu 0715 497259 au...
Natafuta nyumba ya kupanga iwe maeneo ya sinza, Mikocheni au Kijitonyama. Iwe ya vyumba vitatu (au hata viwili), Sitting room, dining room, jiko na stoo. Iwe na choo na bafu ndani. Iwe inaeza...
Located at Kibamba C.C.M area in Kinondoni Municipality Dar es Salaam City. About 25 metres from Morogoro Road. Plot Size: HEKARI MOJA NA ROBO. Bei 25mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo zaidi piga...
Kama ndiyo kampuni ya ulinzi ya KALU SECURTY inaouwezo wa kutoa huduma hiyo kwako tunatoa huduma ya ulinzi kwenye Makampuni mbali-mbali,shule,maofisi,na sehemu mbali-mbali utakazotuhitaji kulinda...
Wandugu nataka kufanya tafiti kuhusu Viwanda vya Kusindika Maziwa Tanzania vinavyofanya kazi vilivyopo kwa sasa,ningependa kujua majina na mikoa vilipo ,pamoja na kuwa nina orodha ya baadhi ya...
Wana JF,
Nina Mac Laptop used ninaiuza please see below for further details
The following are the specs for my Power book G4 15'
Mac OS X Version 10.3.9
Processor 1.5 PowerPc G4
Memory...
Habari wa JF!
Siku kadhaa niliweka thread iliyouliza kuhusu magari, niliomba ushauri kuhusu gari na wengi walinishauri nitafute Nissan March au Vitz au Fun Cargo. Lakini katika kuperuzi nimeona...
located at Msasani Peninsula, Masaki, this property is a convergence of modern functionality bespoke finishes, including materials sourced from various European countries. With superb...
Located at Kibamba C.C.M area in Kinondoni Municipality Dar es Salaam City. About 25 metres from Morogoro Road . Roof: Is of hipped type covered with corrugated iron sheets on timber members. No...
Heshima mbele wana JF,
Nahitaji Document Feeder ya photocopier Canon IR 2520 (DADF-AB1 for Canon IR 2520).
Ningependelea kupata mpya, naomba mwenye nayo anijuze naipata kwa bei gani ifikishwa...
Wadau,
Naulizia kama kuna mtu anafahamu hospitali hii ilipo, au ana contact za hapo. Nimetafuta kwenye google, lakini sijapata info kamili. Hii hospitali ipo Dar es salaam, ila sijajua ni eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.