Natafuta Nokia N82

Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,477
325
Jamani mwenye simu ya Nokia N82 na anaiuza naomba anijulishe kwa namba 0713589106 au aniandikie kwa pascalmabagala@gmail.com. au kama kuna duka ambalo naweza kupata simu ya namna hii pia naomba mnijulishe, nimejaribu kuulizia baadhi ya maduka hapa darisalam sijapata.

Natanguliza shukrani

Hapa ipo n95 lak 150000 na memory kadi ya 2gb

Kaka N82 ndio ninayohitaji, ila tuwasiliane kama nitaridhika nayo ntachukua

Au kama kuna mwenye Nokia N86 pia sio mbaya akinijulisha

NEW NOKIA N82 3G 5MP UNLOCKED GPS WIFI CELL PHONE BK
Sisi, Pacificamarine tunaweza kukuagizia na kisha kukuletea mpaka Dar es Salaam kutokea Canada kama ukivuta subira ya kama wiki mbili hivi. Bei zake ni kama ifuatavyo:
New: $305.00
Used: $ 268.00
Refurbished: $280.00
Tuandikie kwenye: pacificamarine@yahoo.com ili tuzungumze.

Utafanya malipo ikifika Dar kwa agent wetu.

Similar Discussions

Back
Top Bottom